mgombea EALA ajitoa dakika za mwisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mgombea EALA ajitoa dakika za mwisho

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by reina, Apr 17, 2012.

 1. r

  reina Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mwanamama mmoja mgombea wa ubunge katika bunge la jumuia ya Africa Mashariki amejitoa dakika za mwisho katika kinyanganyiro hicho kwa kile kinachoonekana kuwa ni kushindwa kujieleza kwa lugha ya kiingereza....more info later
   
 2. eddo

  eddo JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mama kajitaidi kujikanyaga lakn wapi?
   
 3. r

  reina Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  emejikanyaga na kuvunja vidole utafikiri anapigwa sound lakini ngeli zikagoma.duh bora kajitoa tu angetuaibisha
   
Loading...