Mkasi na makamu, makamu na mkasi-itakukoma mwaka huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkasi na makamu, makamu na mkasi-itakukoma mwaka huu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by luckman, Apr 17, 2012.

 1. l

  luckman JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Nimekuwa nikijaribu kuchunguza hasa kazi ya makamu wa rais ni ipi, na je umuhim wa cheo hiki ni upi kimantiki hali una waziri mkuu?sikupata jibu, nimekuwa nikijaribu kumuona makam wetu akikata mbunga kusini kaskazini, mashariki hadi magaribi kazi kubwa ni kukata utepe, kufungua nyumba, branch za mabenk na asasi mbalimbali! hivi tunaspend pesa nyingi kiasi hiki makamu wa rais kwenda tanga, au bukoba na itifaki yote kwa ajili ya uzinduzi au ukataji wa tepe kwenye nyumba au ofisi? tutafari sana juu ya hili kwenye katiba mpya inayokuja tuna kila sababu ya kuondoa cheo kimojawapo kati ya makamu wa rais au waziri mkuu!
   
Loading...