Wana Jf sasa basi :enough' now

Wana Jf sasa basi :enough' now

Type

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
203
Reaction score
23
Jaman nadhan huu ni time ya maoni ya mambo yahusuyo KATIBA, sasa jaman tujaribu kuliangalia hili kwa time hii. Mfano mamlaka ya rais pamoja na kinga aliyo nayo ya kutoshtakiwa, 2, undwaji wa tume mbalmbali,, ubinafsishaji wa mashirika na mali za go'lnt, 3 uundwaji wa tume ya uchaguz' kwa sasa rais ndo anamamlaka hayo lakin nivizuri ht wapinzan washirikishwe, sheria ya ardhi, sheria za mambo ya biashara, mambo ya nishat na madin, yaan pomoja namengi uyajuayo wewe hebu tuangalie hayo jaman. Hayo ya sk hawez kurud tena safar yake ashamaliza tena uyo.
 
Back
Top Bottom