Ubungo Umeme imegeuka kuwa kijiwe cha Packing ya Magari ya police. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubungo Umeme imegeuka kuwa kijiwe cha Packing ya Magari ya police.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Apr 17, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Napita muda huu ubungo muda huu,Nimeona hapo magari ya maji washa mawili,difenda 2 wakiwa wako full yani kama kuna shughuli.

  Doria ya kuwafukuza maskin wenzetu waliojiajiri wenyewe.

  Maswali yangu kwao...
  Hivi ina mana siku mlipuko ukitokea hapo wauzaji wadowado ndo wangedhulika sana kuliko nyumba zilizopo karibu na mitambo

  ...kama kweli wanajari Usalama wa wananchi kwanini ofisi yao hawajaitoa pale mi nafikiri wao ndo wapo kaburini kama mlipuko ukitokea mida yao ya kaz

  ..kwanini kituo cha ubungo ndogo bdo kipo ikiwa nacho kinakusanya watu wengi je Mlipuko ukitokea wao hautawadhuru.
  Mi sidhani kama eneo la ubungo lipo salama kama wanavyo dhani wao.

  Hizo doria wangekuwa wanafanya usiku kupambana na wakabaji,waporaji na wakapge doria nyakanazi huko.
  Mytake.Jeshi la policcm livunjwe.
   
 2. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  We unayako yanayokusumbua!
   
 3. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Haswa..........kishasahau nani kashika dola
   
 4. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Yapi hayo??? Mbona hoja imesimama vema tu......
   
 5. j

  jmnamba Senior Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Orijino tz!
   
Loading...