Hali mbaya ya hewa Zanzibar

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Hali ya Bahari ya hindi,Nungwi Huko Zanzibar ni tete kuna
mawimbi makali yanayo semekana ni Tornado's....
Tunaendelea fuatilia taarifa kamili inakuja

534040_283405081745442_100002278567469_607293_1664141009_n.jpg
 
Hivi ndivyo inaonekana dakika 15 zilizo pita.
Kumbuka ndiko kuliko tokea ajali iliyo ua idadi
kubwa ya watu ambayo haija thibitishwa hadi leo.
 
Hivi ndivyo inaonekana dakika 15 zilizo pita.
Kumbuka ndiko kuliko tokea ajali iliyo ua idadi
kubwa ya watu ambayo haija thibitishwa hadi leo.

mkuu nawaheshimu sana Premium members kama wewe, habari muhimu sana lakini wrong destination, nahisi kama hili ni jukwaa la siasa vile? au mie nimeji-mix?
 
Mkuu hizi habari za wapemba ulitakiwa uzipeleke huko mzalendo.net.
POLENI SANA WAZANZIBAR KWA HALI MBAYA YA HEWA.
 
iachwe kwa muda jukwaa la siasa kutokana na dharura yake ndipo kuna watumiaji wengi wa JF
 
mkuu nawaheshimu sana Premium members kama wewe, habari muhimu sana lakini wrong destination, nahisi kama hili ni jukwaa la siasa vile? au mie nimeji-mix?
Tena mimi ningemshauri aposti kila forum kuanzia international mpaka mahusiano, maana anatangaza hali ya hatari.
 
Du inaonekana hali si shwari. pitisha mbali hii kitu maana Tz na Zenj kwenyewe hawawezi lolote kuhusu maafa, kaputi
 
mbona watu wengine mmekuwa na roho za ajabu kiasi hiki, kweli mtu na akili zako timamu unakaa unamuombea mwenzio afe, dah si kitu kizuri ata kama watu hampendani.
 
Back
Top Bottom