Chonde chonde Kina Mama.

Mtanganyika1

Member
Sep 13, 2011
56
5
:sad: Habari zenu wana JF,
Nimatumaini yangu, siku ya leo imeenda vyema , basi poleni kwa kazi za ujenzi wa taifa.
Leo katika mizunguko yangu nikakutana na Rafiki yangu ambaye wakati wakujuliana hali akaniambia shemeji yako bwana amelazwa naamefanyiwa oppression amekuwa akisumbuliwa na maumivu makali sehemu za nyonga na chini ya nyonga kwa muda mrefu kidogo iliyo mpelekea kwenda kupata vipimo vya x-ray ambavyo vilionyesha uvimbe mkubwa sana kwenye upaja ambao umepelekea kufanyiwa oppression, sababu za uvimbe huo kwa mujibu wa daktari ni kutumia hayo madawa kwa hiyo, ni moja ya madhara ambayo mtumiaji anaweza kuyapata.Jamani tujihadhari sana na huo usasa sikila umbiwacho ukubari vingine ni hatari kwa maisha yako hata kama kimetoka ulaya
 
mmh mkuu hayo madawa unayozungumzia ni yapi?ya uzazi wa mpango, ya kulevya,ya kuongeza makal*** au mkorogo,umetuacha njia panda boss
 
Umeyasikia kwenye mhadhara wewe! Hata mimi nilikuwepo,nilipoyapima hasa mtoa mada mwenyewe nikayapotezea lol!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom