Hivi ni kweli BOOM halitoshi?

Andrew Jr

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
329
112
Shukrani kwa serikali angalau kufanya maisha yasiwe magumu vyuo vikuu wakatupa tuhela twa kujikimu. Kuna siku nlikuwa mitaa fulani nikasikia mtu analalamika..hawa wana vyuo jaman hawaridhiki na mahela yote hayo...wew ungemwambiaj mwana JF
 
Hivi nyumbani kwenu hakuna choo cha kujisaidia?
 
Kwa sisi tuliosoma kwa 2500 kwa siku na wale wa uswazi tutaona linatosha, ila wenzetu wa leo waliopo vyuoni wanaopata 7500 kwao halitoshi... huwezi pata majibu sahihi hapa...kila mtu atavutia kamba kwake!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom