Mfalme Mswat apata ndege mpya

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Mfalme Mswat wa swaziland amepokea ndege mpya anayodai kuwa amepewa na rafiki zake wahisani.
Mwaka 2002 Mswat alitaka kununua ndege yake binafsi kwa pesa za umma lakin zoez hlo lilishndikana kutokana na raia kuandamana,wapo wadau wanaosema ndege hiyo ambayo imetoka kwa watu asiopenda kuwataja ni zawadi ya siku yake ya kuzaliwa.
MSWATI ANATAJWA KWENYE JARIDA LA FORBE KUWA NDO TAJIR NAMBAR 15,KATI YA MATAJIR WA KIFALME DUNIAN,ANAMILIKI DOLA MIL 100,lakin raia wake wanaish kwenye umaskin mkubwa sana,na pia kuna idad kubwa ya waathirika wa UKIMWI.
Sosi:BBC SWAHILI
 
Ili kampuni iweze kufanya biashara vizuri nchini swazi lazima igawe share kwa royal family, utastaajabu kuona kuwa kuna kampuni moja tu kubwa ya simu na familia ya mfalme inamiliki hisa nyngi humo. Ndiyo maana ni tajiri na anaendelea kupata kipato kikubwa.
 
höngera zake mswat
 
Nilikuwa pale South Africa habari zilizopo kule ni kuwa huyu Mswati ni muuzaji mkubwa wa Bangi in Europe n America na ana mashamba makubwa sana ya bangi wala hawategemei
fedha toka kwa govermnt
 
Amewadanganya wananchi wake kuwa amepewa zawadi na marafiki wake.Hii ni njia ya kuwa zuga raia wasijue kama ni kodi zao.
 
Jamani nani analeta habari km hizi nchini kwetu............naomba mungu asisikie kikwete asije naye akaanza kushindana naye maana wote ni watu wa totoz
 
Back
Top Bottom