Kulikoni sherehe za muungano wa Tz? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikoni sherehe za muungano wa Tz?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mfwalamanyambi, Apr 26, 2012.

 1. M

  Mfwalamanyambi JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 434
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Leo nimeshangaa, kwenye sherehe za muungano hakuna kiongozi aliyetoa hotuba angalau kuelezea chochote mfano mafanikio ya muungano wetu na mambo mengine yanayoamabatana nayo. J.K kaiishia kukagua gwaride ikifuatiwa na viburudani tu. Imekaaje hii, hasa kwa kuwa wametumia gharama kuendesha sherehe hii.
   
 2. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,415
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  Unashangaa nini kwani hujui kuwa kiwete ni mtu wa burudani?
   
 3. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,123
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Inawezekana Kikwete sauti imekauka anapenda sana kuhutubia.
  Nimesikia za chini ya red carpet kwamba alikunywa viroba na pilipili za kibrazil akanza kuimba kwenye Karaoke bar sauti ikakata.*Just kidding*
   
 4. M-mbabe

  M-mbabe JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 4,133
  Likes Received: 2,366
  Trophy Points: 280
  du.....kosa au kusudi?
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,114
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Tz shamba la bibi.
   
 6. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,227
  Likes Received: 7,548
  Trophy Points: 280
  mafanikio ya nini watu wanahasiri na huo muungano kule zanzibar mpaka sasa watu wapo sele kisa muungano huohuo.!
   
 7. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,961
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Comrade unashangaa nini hukumbuki ya pinda? ataongea nini ukimtaka aongee basi ataisifia simba(mfano) la kutupa takwimu za kusikitisha juu ya kufeli kwa vijana wa kadato cha nne au kutuambia siku ya sensa tusitoke majumbani kwetu kabla ya kuhesabiwa sijui mlo wa siku watatupa hao wahesabu watu?
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Huo ni upepo tu unapita,ATAONGEA MIAKA 50 YA MUUNGANO THE NEXT KAMIN 2 YEARZ
   
 9. M

  Malikauli Senior Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 105
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Mimi pia sijaelewa,nimeshangaa kumuona Baba Mwanaasha akiondoka bila kuhutubia lolote,mimi nahisi mshikaji yuko frustrated sasa,hata mambo ya kawaida yanaonyesha kumshinda,bila shaka jeshi litakuwa linajiandaa kupokea kijiti maana jamaa haeleweki
   
Loading...