Great thinke
Leo ni siku ya historia kwa Tanganyika +Zanzimbar utake usitake na ndo maana mmepumzika na hamjaenda kazini
TBC1 naona yupo Hassan na Hadija walio husika na kuchanganya udongo wa Tanganyika na Zanzimbar enzi hizo. Nna maswari kidogo kwa wazazi wetu wa enzi hizo
1 .Nini ilikuwa falsafa ya kuunganisha udogo huo?
2.Nini historia ya nchi hizi kabla hazijaungana?
3. Ilikuwaje tanganyika tupoteza jina letu tanganyika na wazanzimbar wabakie na jina lao Tanzania
4.Nini ilikuwa falsafa ya muungano huu @@@@ Mwlaimu Nyerere +Karume
Ni hayo tu kwa leo