Jakaya: Tunakupa wiki mbili, la sivyo ujiuzulu.

mnyongeni

Senior Member
Dec 6, 2011
141
24
Hili swala la jk kukumbatia mawaziri mafisadi, ana upendo na wananchi kweli? pinda si ameshindwa kuwawajibisha, eti kisa hana mamlaka(amezibwa mdomo), sasa wabunge hongereni kwa kazi nzuri, ila hatutaki mje muwashitaki kwetu, kwani hili limeshatendeka, si mlishawashitaki mlipokuwa bungeni? tumechoka tumechoka tumechoookaaa..wito wangu kwako jakaya mrisho kikwete, sasa yatosha, we siunatuona sie mambumbumbu wa kusukumwa na upepo, ndomana unasema "HUU NI UPEPO TU UTAPITA" sasa fahamu ni upepo ndiyo; ila UTAPITA NA WEWE. WITO WANGU KWA WANANCHI:Naomba tulishikilie hili swala kama hatowawajibisha mawaziri wake tumshinikize mpaka ajiuzulu. tangazeni, hamasisheni tumieni mitandao ya kijamii ili swala hili lifanikiwe, siye si ndo tulimweka madarakani sasa tunauwezo wa kumwondoa. na ataondoka. nategemea ushirikiano wako.
 
hili swala la jk kukumbatia mawaziri mafisadi, ana upendo na wananchi kweli? Pinda si ameshindwa kuwawajibisha, eti kisa hana mamlaka(amezibwa mdomo), sasa wabunge hongereni kwa kazi nzuri, ila hatutaki mje muwashitaki kwetu, kwani hili limeshatendeka, si mlishawashitaki mlipokuwa bungeni? Tumechoka tumechoka tumechoookaaa..wito wangu kwako jakaya mrisho kikwete, sasa yatosha, we siunatuona sie mambumbumbu wa kusukumwa na upepo, ndomana unasema "huu ni upepo tu utapita" sasa fahamu ni upepo ndiyo; ila utapita na wewe. Wito wangu kwa wananchi:naomba tulishikilie hili swala kama hatowawajibisha mawaziri wake tumshinikize mpaka ajiuzulu. Tangazeni, hamasisheni tumieni mitandao ya kijamii ili swala hili lifanikiwe, siye si ndo tulimweka madarakani sasa tunauwezo wa kumwondoa. Na ataondoka. Nategemea ushirikiano wako.

atoke ikulu
 
Labda apewe miaka miwili, ule wa tatu ni atake asitake! Kwa upepo ulivyo kwa sasa ametia msikio nta na pia kavaa miwani ya mbao!
 
Hakuna njia nyingine ya Ukombozi zaidi ya kushinikiza JK atoke kwani matatizo yote unayoyaona chanzo ni yeye. Kumbuka sakata la Richmond EL alishaeleza kuwa alipokea maelekezo kutoka kwa mnikulu, sakata la Jairo, madaktari na hili la sasa utaona kila jambo anayeharibu ni yeye. So napendekeza tuanzie na yeye kwani kumwajibisha Pinda na mawaziri peke yake haitoshi aachie ngazi tufanye uchaguzi mwingine CDM wachukue nchi. Kama hayuko tayari tuige mfano wa Misri et al.
 
Hili swala la jk kukumbatia mawaziri mafisadi, ana upendo na wananchi kweli? pinda si ameshindwa kuwawajibisha, eti kisa hana mamlaka(amezibwa mdomo), sasa wabunge hongereni kwa kazi nzuri, ila hatutaki mje muwashitaki kwetu, kwani hili limeshatendeka, si mlishawashitaki mlipokuwa bungeni? tumechoka tumechoka tumechoookaaa..wito wangu kwako jakaya mrisho kikwete, sasa yatosha, we siunatuona sie mambumbumbu wa kusukumwa na upepo, ndomana unasema "HUU NI UPEPO TU UTAPITA" sasa fahamu ni upepo ndiyo; ila UTAPITA NA WEWE. WITO WANGU KWA WANANCHI:Naomba tulishikilie hili swala kama hatowawajibisha mawaziri wake tumshinikize mpaka ajiuzulu. tangazeni, hamasisheni tumieni mitandao ya kijamii ili swala hili lifanikiwe, siye si ndo tulimweka madarakani sasa tunauwezo wa kumwondoa. na ataondoka. nategemea ushirikiano wako.

Tuko pamoja. Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.
 
mwambieni magogoni si bagamoyo aondoke tu hana nafuu kwetu, kama anakula nao awabebe aende nao kwa wakwele
 
arusha,mwanza,tandahimba na songea wanaweza leta mapinduzi,dar bure kabisa gymkhana panafaa kukutana
 
Hamasa ni muhimu siyo kwa wapenzi wa CDM tu bali hata wakereketwa maana tushachoshwa na utawalawa wake usokuwa na manufaa.
 
Nashauri tuweke majina yetu halisi, tujuane na tutambue uwezo wa kila mmoja na hatimaye uwezo wa timu. Jina langu halisi ni Zefania Ulio. Napatikana Mbinga na ni mjasiriamali. Well knowa uliza mtu yeyote.
 
kikwete+na+noti+mpya.JPG
 
Hivi najiuliza ingekuwaje kama Dsm ndo ingekuwa Arusha? Leo hii sidhani kama huyo f.a.la mkweree angekuwepo hapo magogoni.
 
Back
Top Bottom