Kwa maoni yangu muungano uwe wa serikali moja. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa maoni yangu muungano uwe wa serikali moja.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ikuo, Apr 26, 2012.

 1. ikuo

  ikuo Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Tangu muda mrefu tumekua tunajadili muungano wetu. Wengi wanapendekeza tuwe na serikali mbili, binafsi naona serikali moja ndo suluhisho. Tusikwepe gharama. Wenzangu naombeni mtupie maoni yenu.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ifanyike referendum wananchi ndio waamue namna wanavyotaka.
   
Loading...