Kuna haja ya kusherehekea Muungano? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna haja ya kusherehekea Muungano?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyange, Apr 26, 2012.

 1. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Kuna haja gani ya kusherehekea muungano wakati nchi uchumi wake unazidi kupolomoka? Nadhani hii ya kusherehekea wakati uchumi hauko sawa ni deal ya viongozi kuandika matumizi na posho, vinginevyo hawa watawala wangejiuliza kuna manufaa gani wa kusherehekea wakati watanzania hawako happy na maisha?
   
Loading...