Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naamini mmefanya makosa japo imeshakuwa cku nyingi tangu mkosee na hamjarekebisha pengine kwa kutegea tuwarekebishe. Bei ya rand (zar) kwa vyovyote haijafika tsh.2000. La mtupe maelezo kuliko...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), imesema awamu ya kwanza ya Vitambulisho vya Taifa imekamilika na vitaanza kutolewa mapema mwezi ujao. Imesema kuwa uzinduzi wa kutoa vitambulisho hivyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sijui kama ndo nimechelewa kuipata hii habari au siyo ila sorce yake ni ITV habari
0 Reactions
0 Replies
863 Views
wapendwa wanajf wote poleni mihangaiko ya huku na kule ya kutwa nzima,ktk kutafuta kariziki.sharehe sabasaba mwaka uliopita zllipendeza kwa kweli tuliienjoy hasa kwenye mabanda mbalimbali ya...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Kiongozi mpya wa Malawi Joyce Banda amemtimua Waziri wake wa mashauri ya kigeni, Peter Mutharika, nduguye Rais aliyefariki akiwa afisini. Bw.Peter Mutharika alitazamiwa kama mrithi wa marehemu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada, je kwa wale wenye Blackberry wanawezaje kufanya hadi email zao wanapotuma sehemu ya chini inaonyesha. Sent via Blackberry? Huwa wana set namna gani?
0 Reactions
0 Replies
884 Views
"Presidence is an is an instuite" kwa kaelim kangu kadogo nilivyo fundishwa na nilipo changanya na za kwangu kwamba presidence is an instuite japo head wake ni president msingi wa swali alangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
siku hiz inaonekana wasichana wadogo wanachukuliwa na mababa mazee mazma hiv hii ndo nn jaman au tunaenda wapi
0 Reactions
1 Replies
921 Views
  • Closed
Muungano ukiwa bado mbichi wazanzimbar wako uwanja gani sijui huu kelele mpka hawasilikizani swali langu kwa watanganyika hawa watu tunawanganagania nini? Wanasema wazi hawatupendiiiii mim nadhn...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Sasa hivi nilikuwa nasikiliza khutba ya Ijumaa ya huyu Sheikh TBC1. Alikuwa anaongea juu ya mada ya ''matatizo ya dunia hii yataondolewa hekima ikitumika''. Amemnukuu George Bernard Shaw,kwamba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nimehamasika na matangazo ya Airtel kwenye redio hata hapa Jamii Forum tangazo lao liko hapa juu lisemalo nanukuu: Get the modem that gives you free internet: Buy for only 30'000 Tsh and...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Leo linaanza kongamano la siku mbili la masecretary hapa mwanza, lakini ninachokiona kwa upande wa washirki kuhusu usafiri wa kwenda na kurudi katika eneo la tukio (malaika beach hotel) siyo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nasafiri ndani ya basi la ngorika kutoka Moshi kuja Dar Gari la magereza limeleta mfungwa akiwa na maaskari magereza watatu Swali langu wana JF je ni kawaida kusafirisha mfungwa kwenye public...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika taarifa ya habari ya Radio One ya saa 7.00 yaleo Alhamisi habari mojawapo ilihusu Waziri Mkuu kuzindua ujenzi wa miundombinu ya kilimo Mkoani Morogoro. ehemu ya habari hiyo ilieleza kwamba...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
TAHADHARI KWA WATUMIAJI SIMU ZA MKONONI: Simu zinatumia Mionzi ya MICROWAVE ambayo huwezesha kuunganisha simu yako kwenda kwenye Mnara na mnara huunganisha Simu yako na Mitambo ya Mtandao...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Naona macho na maskio kwa hawa wezi vijana, vipi huyu nguli aliyetajwa bungeni yeye msafi? Jamani ibueni uozo wote wekeni wazi watanzania wajue.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nisaidieni wenzangu hii sheria ya matumizi ya dola za Marekani. Hadi sasa nyumba na viwanjwa watu wanauza kwa dola. Bila woga matangazo yote gazetini kuhusu kupangisha nyumba ni kwa dola za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
na Chalila Kibuda CHAMA cha TADEA (Zanzibar) kimesema bado hakina imani na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuhusu msimamo wake wa kuwawajibisha watumishi na viongozi waliohusika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamaa anaporomosha matusi na kejeli kwa viongozi wa muungano na watanganyika. Hivi kwa nini usalama wa taifa usimshughulikie huyu mchochezi? Anazungumza suala la mafuta kana kwamba yeye ana...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wanajumuiya ya chuo UAILIMU Mtwara leo asubuhi tumepata msiba wa kijana mwenzetu AMABKISYE MWAKASASA mwananfunzi wa mwaka wa kwanza (DIPLOMA YA UALIMU) kilichotokea usiku wa kuamkia leo katika...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom