Clouds TV Graphics!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Clouds TV Graphics!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by furahi, Feb 6, 2011.

 1. f

  furahi JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Sina utaalam wa graphics lakini ninachofahamu ni kwamba watazamaji wa Clouds TV wasipokuwa makini, soon watakuwa vipofu!
   
 2. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,645
  Likes Received: 21,856
  Trophy Points: 280
  Lete habari ikoje hiyo
   
 3. N

  Nwaigwe JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 776
  Likes Received: 451
  Trophy Points: 80
  imekuwaje?
   
 4. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #4
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 905
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  ipo kwenye satelite? au ni tv za dar tu kama mlimani,tumaini nk.ndiyo maana
   
 5. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #5
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Nakubaliana na wewe Graphics za Clouds ni mbovu sijawahi kuona, ningewashauri wa mtafute graphic designer wa Star TV awasaidie.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Feb 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Ikoje..
   
 7. f

  furahi JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Picha ni mbovu, text colors zinaumiza macho. Text color yellow kwenye background nyeupe nk! Huwezi kutizama kwa muda mrefu. Nawashauri wawaulize Star Tv au East Africa Tv coz wana graphics nzuri sana. Kinachonishangaza ni kwa namna ambavyo TV hii ilivyoanza kutangazwa kwa mbwembwe tena baada ya wa2 kuwekwa stand by kwa miaka zaidi ya 5! Utafikiri inaanzishwa CNN kumbe kimeo kitupu.
   
 8. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 135
  Hahaha.. We unasema macho tu, hata 'maskio' yataumia kwa kusikiliza sauti za wabana pua.. Kama hawajabana ujue wanawaiga watangazaji wa chanel zngne.. Mfano mtofautishe mshkaji wa kipindi cha clouds tv cha 20 za town (km wanavyoita) na mtangazi wa Uswazi {sijui km bdo yupo} au Planet Bongo wa EATV.. Shame on them, copy and paste people..
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sijawahi ona hiyo tiivii...

  je umeshawashauri kwa email yao?
   
 10. f

  furahi JF-Expert Member

  #10
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 947
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Haijalishi inapatikana kupitia ki2 gani, the point is hawana mtu mzuri wa picha. Hawafahamu namna ya kupangilia rangi.
  , yale maneno yao wanayopitisha kwenye screen, na animations pia zinaumiza macho sana. Unapotizama macho hayarelax, kuna tabu fulani unaipata ukitizama.
   
 11. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #11
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Good!... Very good!...
   
 12. Azikiwe

  Azikiwe Senior Member

  #12
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kipindi kizuri ni sports extra tu pale!!
   
 13. whizkid

  whizkid JF-Expert Member

  #13
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 299
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Hadi logo wamecopy! Shame on the creative department!

  cloudsfake.jpg
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Jun 26, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  clouds tv ni tv ya kuunga unga....

  imean kama gari engine toyota
  body ni volkswagen...
  taa ni za nissan
   
 15. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #15
  Jun 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Nieleze kiutaalamu wamekopy vipi hiyo na kama suala la hati miliki inaelezwaje ndugu - eleza sio una kurupuka tu
   
 16. papaa masikini

  papaa masikini Senior Member

  #16
  Jun 26, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Siyo hilo tu wamecopy&pastle...hata majina ya programe zao,wamecopy...watundu waliyokuwa pale ni kina masoud kipanya,ml chriss,G'habash nk...wengine ni masharo tu
   
 17. dizbap

  dizbap Senior Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hii KALI! Didnt know!
   
 18. Judi wa Kishua

  Judi wa Kishua JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 525
  Trophy Points: 180
  iyo nembo hawawezi kushtakiwa kweli jaman!!
   
 19. Cheche Mtungi

  Cheche Mtungi JF-Expert Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,487
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
 20. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,072
  Likes Received: 10,426
  Trophy Points: 280
  Kitu EATv pale ndo mwisho wa maelezo nawakubali sana.
   
Loading...