mbona matangazo mengi ya TV yanatoka nje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mbona matangazo mengi ya TV yanatoka nje

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DOOKY, Apr 26, 2012.

 1. D

  DOOKY JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 12, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Habari, nimeangalia Televisheni leo wakati wa Habari, nimeshangazwa na baadhi ya matangazo mengi yametoka nje ya mipaka hususani Afrika Kusini ila wameingiza maneno mfano haya ya sabuni ya Omo na mengine.sijapata jibu kwamba wabongo tunapiga domo tu lakini hatuna vitendo?

  Nawasilisha..
   
 2. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  unawasilisha uwezo wako mdogo wa kufikiri?
   
Loading...