Magari ya UDA yanabeba abiria wa aina gani? Na yanamilikiwa na nani?

mbota

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,040
559
Heshima kwenu wana Jf.
Nilikuwa kwenye foleni asubuhi hii ya leo mara nikaona basi ambalo ni la uda. Sasa wakuu kilicho nikera sana ni kwamba hili gari lipo kwenye foleni ila watu waliopo hata wa5 hawafiki .
Je haya magari yanabeba watu wa type gani? Au wizara gani? Au shirika gani? Au shule gani japo halijandikwa school bus au college bus?
Na pia UDA mmiliki wake ni nani?
Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom