Wana-ccm tuanzishe na sisi m4c yetu kuitokomeza chadema" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana-ccm tuanzishe na sisi m4c yetu kuitokomeza chadema"

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by AdvocateFi, Apr 26, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Habari wanaccm wenzangu!
  Najua tuna kazi nzito ya kukitokomeza chama mufilisi CDM ambacho kinajifanya ni cha wananchi kumbe ni cha watu wachache wenye maslahi binafsi ya kuatafuna ruzuku na kusubiri wakichukua nchi wafisadi rasilimali zetu.
  MY TAKE
  Naomba wanaccm wenzangu kuanzia humu jf na viongozi wote wa ccm tuanzishe na sisi m4% yetu ya kuitokomeza CDM na iendeshwe na viongozi wetu kama jmakamba, mrisho gambo, shigela, fred lowasa kilango malecela, sitta, na dk. Benson bana ndo awe kiongzoi wa hii M4C.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wamekusikia!
   
 3. chimpa100

  chimpa100 Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  puppets
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nape alisema kuanzia sasa CDM watakuwa wanacheza muziki wetu, sasa sijui nani kati ya CDM na CCM anayecheza muziki wa mwenzake? CDM wameanzisha M4C na nyie mnataka muanzishe kwani hamna majina mengine au mpaka muige toka upande wa pili?
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Mimba changa inasumbua sana!
  Pole!
  CCM inauawa wa wanaccm wenyewe!
  Kikwete ni namba moja katika kutekeleza ccm inakufa kifo cha kibudu. Ukitaka kujua ukweli mwulize Deo Filikunjombe
   
 6. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ...as long as it is PEOPLE-CENTRED. And, Tanzania has ONE PEOPLE.
   
 7. M

  Makupa JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hivi mkuu hujui kuwa M4C maana yake ni movement for carnage.
   
 8. M

  MTK JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  Sacarsm n ridicule noted in ur post, but bear in mind tht 1. Stereotyping cant work 4 CCM n 2. Dead entities don count, au hujui?! CCM is dead period. RIP
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  kweli tumeingiliwa kwa kweli.
   
 10. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #10
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  mkuu naelewa! Na kuanza na ww kama ni mwanaccm wenzangu na sisi tuanzishe hii movement ya kubadili matuzi mazuri ya ruzuku pia ni kuchochea mabadiliko ktk vichwa vya vijana wetu walolishwa sumu chafu na hao wahuni wanaojiita mkamanda kama lema na lissu, so kwa kufanya hii movement ninaamini chama chetu kitakwenda kurudi kama zamani.
   
 11. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #11
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  hapana mkuu! Nachotaka mimi pia na viongozi wetu waliomo humu jf wafunguke ili tuweze kuki-reform chama chetu makini ccm.
   
 12. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #12
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mkuu,
  una undugu na lusinde?
   
 13. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #13
  Apr 26, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Join Date : 26th April 2012
  Posts : 38
  Rep Power : 308
  Likes Received 1
  Likes Given 0

  Pole sana. Kazi unayofanya wewe si wa kwanza kuifanya. Walikuwepo kina Mwita25, Faiza Foxy, Malaria Sugu, etc wameshindwa. Anyway Karibu sana JF.
   
 14. B

  Benaire JF-Expert Member

  #14
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,947
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Umenikumbusha moja ya sababu kubwa iliyopelekea luddism kushindwa huko uingereza katika kipindi cha workers' movements......hawakumtambua adui yao na kudhani adui yao ni machinery technology.....hata wewe umeshindwa kumtambua adui wa CCM kuwa ni matatizo yanayosababishwa na utawala wao wa kipuuzi..unadhani adui ni chadema......mtu aliechoka hata uweke mgombea wa CCM na jiwe atachagua jiwe coz anaweza kuangulia matunda na kuua ndege!
  Think as a great thinker not as sandbag!
   
 15. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haa haaa, fanyeni hivo bwana ili na nyinyi muendelee kuwaibia watanzania tembo, twiga na nyati kupeleka kwa marafiki zenu ulaya na uarabuni. Kweli ccm ni janga hawana hata huruma!
   
 16. Mchambuzi

  Mchambuzi JF-Expert Member

  #16
  Apr 26, 2012
  Joined: Aug 24, 2007
  Messages: 4,819
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Mimi ni mwanachama mwenzako wa CCM lakini kwa mwendo huo wa kutofautiana na chadema bila ya hoja na badala yake shutuma zisizokuwa na kichwa wala miguu tutazidi kukipoteza chama. Nani anayekula ruzuku zaidi ya CCM? Kila mwezi CCM inapata zaidi ya nusu ya fungu zima la ruzuku lililotengwa kwa ajili ya vyama vya siasa, lakini kwanini such resources do not translate into growth of the party in terms of recruitment and support? Ruzuku ina maana gani sasa kwa CCM kwani hatuoni kama inafanya kazi. Lakini ruzuku ya wenzetu Chadema ipo more effectively - does it mean small is beautiful? Kama tunataka kusonga mbele kama chama na kurudisha imani ya umma, hakuna njia iliyo bora zaidi ya kuambiana ukweli.
   
 17. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #17
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  mkuu hizo surname zinatosha kuwakimbiza wananchi pindi wajitokezapo.WOTE NI WACHUMIA TUMBO.
   
 18. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #18
  Apr 26, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Itakuwa vizuri if at all mnaamka after 50 yrs of being in power,ni wazo zuri bali umelipeleka kwny serikali sikivu isiyojua kutenda
   
 19. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #19
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Kweli nimeamini wasio na haya wana mji wao..
   
 20. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #20
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wana CCM wenzangu tuamke. Jambo la msingi ni kuwa tunahitaji Tanzania safi na wala sisi CCM. KWANI UFISADI WOTE HUU SISI WANA ccm HATUONI? TUACHECHE UTOTO TUJENGE NCHI NA WALA SI CHAMA.
   
Loading...