Lissu kama Lema?

Status
Not open for further replies.

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Wana JF kama mnakumbuka wingi wa polisi na Magari ya Maji ya kuwasha yalivyojaa pale Arusha siku mbili kabla ya hukumu ya Lema kwa ajili ya Kumvua Ubunge.

Sasa Magari hayo na polisi hao wamehamia Singida tayari kwa Kumvua Lissu Ubunge Rasmi leo hii maana CCM huwa wanaweka magari ya polisi tayari kwa hukumu ya dhuluma.

Polisi wengi wametoka SHY na Dom pia Tabora magari ya washa washa yametoka Dar tyr kwa kazi moja tu ya dhuluma.

Lissu Kaa tayari kuporwa UBUNGE kubali matokeo usipofungiwa turudie Uchaguzi

LIVE UPDATES fuatilia - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/257973-hukumu-ya-lissu-yaanza-kusomwa.html
 
......Sasa Magari hayo na polisi hao wamehamia Arusha tayari kwa Kumvua Lissu Ubunge Rasmi leo hii maana CCM huwa wanaweka magari ya polisi tayari kwa hukumu ya dhuluma........

I didn't know ..when did Lissu become the MP of Arusha or do you mean the court is shifting and the ruling will be read from Arusha??
 
Kumbe CDM wote walishinda ubunge kwa magumashi. Poleni sana

Salaamu sana Mkuu Rejao.
Kwa kuwa niko kwenye Time Zone nyingine sikutegea nisome comment yako usiku huu. Au na wewe siku hizi umehamia kwa wapiga maboksi? Najua Tz mida hii ndo inaelekea alfajiri. Vp, mna shifti ya mchana na usiku? Wape salaamu Lumumba na Magogogni wakumbushe ...."Ni upepo tu utapita"
 
Staili ya kulinda kura kumbe mlikuwa mnaiba kura ku2mia eti nguvu ya umma
 
I'm wondering why is this only happening to CDM MPs. There must be something wrong with them as well as their part CDM.

Mkuu

Unafahamu kwanini haya yanatokea... ni sawa na zile kura zilizoibiwa live, ni sawa na uchakachuzi uliotokea kwenye primaries ni sawa na dhuliuma yoyote ile ya nchi zenye watawala dhalimu

Mark My word.... Sierra Leone was once upon a Tanzania Identical twin (in peace and politics), it turned into blood diamnond country

and it was because of people like you, who would take a mickey of anything that hurts other people, i was there post war, kusaidia wamama walioteseka sana.... mifano yote wanayotoa, ni sawa ya kejeli unazotoa mkuu wewe na mfananao

I am just curious, WHAT MAKES YOU IGNORE EVERY SIGN OF A OTHERS SUFFERING

Ulipokua sekondari hukua hivyo, you are disappointing mkuu............ and accumulate rage and anger that may go beyong keyboard

all the best, naelekea Mirambo
 
Salaamu sana Mkuu Rejao.
Kwa kuwa niko kwenye Time Zone nyingine sikutegea nisome comment yako usiku huu. Au na wewe siku hizi umehamia kwa wapiga maboksi? Najua Tz mida hii ndo inaelekea alfajiri. Vp, mna shifti ya mchana na usiku? Wape salaamu Lumumba na Magogogni wakumbushe ...."Ni upepo tu utapita"
Hahahah..umenifurahisha sana. Am happy kufahamu kuwa upo nje ya TZ.Njia yako ya kutufikishia ujumbe kuwa upo abroad nimeikubali. Ujumbe umefika....
 
I'm wondering why is this only happening to CDM MPs. There must be something wrong with them as well as their part CDM.

mkuu unaelewa vizuri sana intention ya chama chako katika hili sema tu unajitoa akili na fahamu..but tell them to keep up with their mission at the end of the day there will be a lot of suprises coming on their way..
 
Mkuu

Unafahamu kwanini haya yanatokea... ni sawa na zile kura zilizoibiwa live, ni sawa na uchakachuzi uliotokea kwenye primaries ni sawa na dhuliuma yoyote ile ya nchi zenye watawala dhalimu

Mark My word.... Sierra Leone was once upon a Tanzania Identical twin (in peace and politics), it turned into blood diamnond country

and it was because of people like you, who would take a mickey of anything that hurts other people, i was there post war, kusaidia wamama walioteseka sana.... mifano yote wanayotoa, ni sawa ya kejeli unazotoa mkuu wewe na mfananao

I am just curious, WHAT MAKES YOU IGNORE EVERY SIGN OF A OTHERS SUFFERING

Ulipokua sekondari hukua hivyo, you are disappointing mkuu............ and accumulate rage and anger that may go beyong keyboard

all the best, naelekea Mirambo
TIMING,
Kuvuliwa ubunge kwa mtu hakuwezi kusababisha madhara yoyote kwa nchi kama Tanzania. Ni watu wachache sana hapa nchini wapo interested na the so called wabunge. Ukifanya utafiti wa haraka haraka utaona kuwa, wananchi wengi wakiambiwa kuwa kitu kinachoitwa bunge kisiwepo, majority watakubali as bunge halina impact yoyote kwenye maisha yao.

Vitu vinavyoweza kuprovoke kuvunjika kwa amani ya nchi ni vitu vile vinavyogusa maisha ya watu directly. Kwa mantiki hiyo, TZ haiwezi kuwa kama Siera leon kamwe eti kisa Lema na Lisu wamevuliwa ubunge.

Nashangaa unavyosema kuwa sekondari sikuwa hivyo, sidhani kama kuna anayenifahamu zaidi ya hapa kwenye keyboard. Asante
 
mkuu unaelewa vizuri sana intention ya chama chako katika hili sema tu unajitoa akili na fahamu..but tell them to keep up with their mission at the end of the day there will be a lot of suprises coming on their way..
Sidhani kama kuna mkono wa CCM hapa, kinachozingatiwa hapa ni utawala wa sheria. Kama mtu hakufuata taratibu za uchaguzi, kwanini asinyang'anywe hayo madaraka? Ndio maana nimesema, tatizo linaweza kuwa kwa wabunge wenyewe au chama chao kwa kutowaelewesha vizuri wagombea wake kuhusu kanuni za uchaguzi.
 
I didn't know ..when did Lissu become the MP of Arusha or do you mean the court is shifting and the ruling will be read from Arusha??

Katika bandiko langu hapo nyuma nilisema kwamba Lissu na Mnyika hawatapona maana hili ni agizo toka kwa Mfalme na kama Lissu atapoteza basi yale yale ya Arusha in Singida .Wewe wajifunza kiingereza endelea kujifunza .
 
Kuwa mwangalifu na kauli mkuu,hata Mbuyu ulianza kama mchicha,watu wamechoka
TIMING,
Kuvuliwa ubunge kwa mtu hakuwezi kusababisha madhara yoyote kwa nchi kama Tanzania. Ni watu wachache sana hapa nchini wapo interested na the so called wabunge. Ukifanya utafiti wa haraka haraka utaona kuwa, wananchi wengi wakiambiwa kuwa kitu kinachoitwa bunge kisiwepo, majority watakubali as bunge halina impact yoyote kwenye maisha yao.

Vitu vinavyoweza kuprovoke kuvunjika kwa amani ya nchi ni vitu vile vinavyogusa maisha ya watu directly. Kwa mantiki hiyo, TZ haiwezi kuwa kama Siera leon kamwe eti kisa Lema na Lisu wamevuliwa ubunge.

Nashangaa unavyosema kuwa sekondari sikuwa hivyo, sidhani kama kuna anayenifahamu zaidi ya hapa kwenye keyboard. Asante
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom