Anatafutwa

andrews

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
1,679
152
nawaomba watanzania wote mlipo muntafute kilanja mkuu anatafutwa na atuambie mbona ni mtoro darasani,mahudhurio yake yatamfanya afukuzwe shule huyu ni
jakaya mrisho kikwet anatokea bagamoyo mara ya mwisho alionekana brazil wakati darasani walikuwa wanazomeana yeyote atakamuona alipo
amjulishe mwenzakemaana shule haina kilanja na akishapatikana
tumuulize kwa nii asifukuzwe shule kwa utoro.
Naomba kutangaza zawadi nono ya kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae.
:a s 41::a s 41:
 
Anapatikana sana kwenye sherehe na misiba. Leo alikuwepo pale uwanja wa taifa baada ya kutoka kwenye msiba malawi.

Ukisikia hitima nenda huko.
 
wategeshee msiba mwingine, tujalibu kuangalia Muhimbili nani anaumwa zaidi tuweke mitego
 
Pale jobless norner Magogoni umepitia? Humkosi hapo kwenye hicho kijiwe cha wauza nchi! Tena kanipita sasa hivi na mabaunsa wake anaelekea huko. Muwahi.
 
Huyu ni mtani wangu, mara zote huwa anaendaga na ndizi kwenye misiba!. Ila alivyoenda malawi alikuta bwabwa maharage, alisahau kwenda na ndizi.
 
Nlimwona mtu kama huyo huko malawi lakini sikujua kama anatafutwa na sina uhakika kama alikuwa yeye .
 
week end hii unaweza kumdaka bagamoyo kwa babu nafikiri ataenda kupiga ramli kucheki joto la kisiasa likoje.
 
Ah jamani kila mtu na Raha zake atawaweza wapi walobobea kwa ufisadi kawakuta na atawaacha,hataki kujitia PB alivyo anguka Jangwani imemtosha....
 
Subra huvuta heri, subiri mpaka 2016, toro hatokuwa na mibaunsa mingi tena, utampata na utamwadabisha!
 
Nimemcheki mda si mrefu anapiga story na na elizabeth benedict.bado hajurudi nipo hapa njoo fasta.
 
week end hii unaweza kumdaka bagamoyo kwa babu nafikiri ataenda kupiga ramli kucheki joto la kisiasa likoje.
Mimi niko hapa msoga kijijini, nimeona nyayo zake zikielekea kwa yule mzee mwenyekiti wa wachawi hapa kijijini ambaye anaitwa karumekenge. Nahisi atakuwa yumo ndani ya vibanda vya huyo mzee akitolewa mikosi ili asisakamwe na wanafunzi.
 
nawaomba watanzania wote mlipo muntafute kilanja mkuu anatafutwa na atuambie mbona ni mtoro darasani,mahudhurio yake yatamfanya afukuzwe shule huyu ni
jakaya mrisho kikwet anatokea bagamoyo mara ya mwisho alionekana brazil wakati darasani walikuwa wanazomeana yeyote atakamuona alipo
amjulishe mwenzakemaana shule haina kilanja na akishapatikana
tumuulize kwa nii asifukuzwe shule kwa utoro.
Naomba kutangaza zawadi nono ya kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae.
:a s 41::a s 41:

Mkuu unamtaka vipi; hai au ha.i.a.ti? Nambie upesi nijipange nikamlete vipi.
 
Mkuu unamtaka vipi; hai au ha.i.a.ti? Nambie upesi nijipange nikamlete vipi.

Mtikila wewe unaweza! Jamani tuhamasisheni basi tuingie mitaani kama ulivyofanya miaka ile kwa Magabachori!?!
 
Jpili atakuwa jimboni kwa Kawambwa kwenye ile familia ya waganga maarufu akina Maarifa anatakiwa kwenda kuvunja nazi na kuoga damu ya kondoo ili kijiwe kitulie, ukimkosa hapo msubirie Jtatu pale Tazara atakuwa njiani akienda kukwea pipa lake Airport tayari kwa kuzurula ughaibuni! Alishauriwa ile ndege isipumzike hata kwa siku mbili na somedays hata ikiwa kwenye testing hewani lazima naye awemo, ****** na uroda wa ndege tena ni kama mwanaye na biashara ya BWIBWI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom