Tovuti ya wizara inaonyesha picha za ngono!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tovuti ya wizara inaonyesha picha za ngono!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kimbori, Apr 23, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Tovuti ya Wizara ya Sheria na Katiba; Wizara iliyochini ya Dr Celina Kombani, www.sheria.go.tz kuna link inayoonyesha picha chafu za ngono.... INANIUMA SANA, SIJUI TZ NI NCHI YA AINA GANI... AIBU KUBWA SANA
   
 2. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Mmmh, huu sasa uzushi. Labda ulichanganya sites. Tupe hiyo link ambayo ina picha za ngono. Otherwise hoja yako ina uwalakini mwingi sana.
   
 3. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni sehemu gani katika tovuti hiyo inayoonyesha huo uchafu. Yaani nashindwa kuamini ukisemacho kama ni kweli au la.
   
 4. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
 5. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  mbona hakuna kitu mkuu!! uzushi mwingine huu!! kama huna hoja ya maana watu tukachangia thread zako si unachangia za wenzako
   
 6. Aleyn

  Aleyn JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 10,229
  Likes Received: 13,681
  Trophy Points: 280
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,520
  Likes Received: 19,943
  Trophy Points: 280
 8. BUNDI WA MJINI

  BUNDI WA MJINI Member

  #8
  Apr 23, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  embu weka hio link vyema-au sema ni wapi tufungue tuone hio mambo-maana neno tembelea ni general sana
   
 9. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Mimi natumia Opreamimi 4 kwenye Nokia E61i. Chini ya "Law is Above All" kuna link yenye maneno yafuatayo, "watch porn bed porn dry sex sex videos porn sex free girl porn sexe porn sex".
  Kisha kufuatiwa na link ya "GOVERNMENT NOTICE NO. 66 ya 08 March, 2012.
  THE CONSTITUTIONAL REVIEW ACT (NO. 08 OF 2011).
  Tumia Operamini 4 kwenye simu, cha ajabu nikitumia Operamini Next huo uchafu haupo.
   
 10. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Wakati unajiandaa kutuletea link ya uhakika ngoja niongeze Castle Light nyingine...

  Ila kwa serikali hii ya Kikwete lolote linaweza kutokea
   
 11. z

  zamo Member

  #11
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli aise, baada picha ya katibu kuna maelezo na kabla ya picha za chini, chini ya kibox kinachosema law is above all kuna links nyingi hapo
   
 12. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Ahsante zamo, maana hawachelewi kusema "akina Erick Kigongo type". Niliamua kufungua hiyo site baada ya kuiona kwenye gari moja la serikali. INANIUMA SANAA... TENA SANAAA.... SIJUI KWA NINI NIMEFUNGUA!
   
 13. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  aisee wizara naona imetuwekea link ya majamboz tehe mkuu uko sahihi kabsaa hiyo ipo angalieni kabla ya kukashifu
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mkuu ni kweli ipo, naendelea kupata maujuzi kupitia website ya wizara tehe bongo ngono ni namba wani usishangae si umeona hadi serikali inakubali
   
 15. z

  zamo Member

  #15
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aibu ilioje, huu ni ufisadi mwingine wameajiliwa wataalam kweli leo wamefunga ofisi wqkaenda home kwao wakiridhisha ni wataalamu? aaagriiiiih!! aibu
   
 16. b

  bob malya JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  du hii kali nimeona live bila chenga
   
 17. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mtani ingia kwenye website uone jamaa wa wizara hiyo wanavyofaudu
   
 18. JS

  JS JF-Expert Member

  #18
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Halafu na saa hizi ni usiku mpaka IT waje warekebishe ni keshooo....wakati damage itakuwa ishafanyika kwa kiasi kikubwa
   
 19. Kayoka

  Kayoka JF-Expert Member

  #19
  Apr 23, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,427
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
 20. z

  zamo Member

  #20
  Apr 23, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii utakuta kuna aliyekuwa anatazama akiwa ofisini hizo link zikaingia woh! ningekuwa na uwezo ninge mwambia mtoto wa mkulima amshtue kombani kuwa awahi kurekebisha ni noma
   
Loading...