jamani startime mbona mnatufanyia hivi??

Asango

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
234
24
naendelea kusikitishwa na kampuni ya startym ambayo inatupatia huduma,leo eneo linalotuzunguka limekata mawasiliano ukipiga customer care wanakuambia chukua remote weka kwenye siginal geuzia antena mlimani.unatumia antena ya aina gani! Hv jamani km huduma naipata kila siku leo unaniambia nigeuzie antena mlimani inakuweje,nikajaribu kumweleza sio tatizo langu peke yangu, hata wengine katika eneo hili wanatatizo hilo anakuwa mkali.kwa nini lakini hamjali wateja wenu?km kuna wenye tatizo km hili tufanyeje?
 
Hio huwa inatokea sana,geuza antennae yako search channels upya(sometimes zaidi ya mara 5!) Utazishika tena
 
ucjali hyo ndiyo digital ya bongo we fata maelekezo unayo pewa wanakuwa wakali maana wanaona uelewi unatumia digital ya bongo
 
Hata Zuku leo nayo inaonyesha kama vile zile CD za Mwenge kituoni,naona vivuri tu ni kama terminator na mikwaruzo na kukwama kwa picha kama TBC vZUKU nao wameshalewa sifa,wameshaanza ''kulitia maji tembo''
 
Back
Top Bottom