Coming soon- Cash scaner kupitishwa mitaa ya Masaki na Mbezi beach! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Coming soon- Cash scaner kupitishwa mitaa ya Masaki na Mbezi beach!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Papa1, Apr 26, 2012.

 1. P

  Papa1 JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 1,285
  Likes Received: 686
  Trophy Points: 280
  Nina hakika mbali na watuhumiwa wa ufisadi katika bunge lililopota, wapo viongozi wengi walioficha pesa chafu majumbani mwao hasa mitaa iliyotajwa hapo juu kama alivyofanya aliyekuwa Raisi wa Malawi Marehemu prof. wa uchumi Bingu wa Mutharika . Hawazipeleki benki wala haziko kwenye mzunguko wa kawaida. Nahisi ndio sababu ya kuondosha noti mpya ki-aina, mpaka leo noti ya zamani iko mtaani, wajanja wanabadilisha taratibu. Enzi za Mwl. Nyerere ktk kubadilisha noti alikuwa anatoa siku saba tu kila mtu apeleke pesa yake benki kubadilisha, leo ikifanyika hivyo utaona maajabu! Nimeagiza cash scaner ambayo inakuwa mounted kwenye gari na ikipita tu ktk nyumba inatoa data za cash iliyoko ndani ya nyumba, and can clearly tell wether it is dirty or clean money, teh teh teh!!, mafisadi nahiyo watasema nimetumwa na CDM!
   
 2. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ok young jamiiforums member
   
 3. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,778
  Likes Received: 6,110
  Trophy Points: 280

  Mkuu kuna kiasi fulani cha ukweli! Uwezekano kwamba baadhi ya mafisadi kuficha cash majumbani badala ya kuzipeleka benki ili kukwepa mkono wa sheria ni mkubwa sana; tena sana! Tena kwa uhakika zaidi wanazibadili na kuzihifadhi katika dola ya kimarekani ambayo kubadilika badilika siyo rahisi.

  Hii ni kwa vifisadi vidogo vinavyoinukia ambavyo mara nyingi havina exposure ya kutosha, mapapa wao pesa zao huzitunza kwenye off-shore banks au huzi-convert katika mamiradi makubwa hasa ya majumba. Usishangae majumba yanachomoza kama uyoga kila kona ya nchi yetu.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Is it works like sound scan?
   
 5. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,728
  Likes Received: 1,636
  Trophy Points: 280
  mtoto wa Mkuu atapona?
   
 6. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  Jamaa kanikumbusha mamilioni yaliyoibiwa kwenye nyumba ambayo ni ya mkurugenzi wa NSSF na walinzi wa hiyo nyumba a,k,a benki ndogo kwani mwenyewe haishi hapo,nafikiri ni maalumu kwa ajili ya kuhifadhia fedha chafu
   
 7. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,932
  Likes Received: 21,049
  Trophy Points: 280
  Does it work.....?
   
 8. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Aminia
   
 9. so who

  so who Member

  #9
  Apr 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani wala huhitaji hiyo mashine !
  Njaa inavyouma ni cash scanner tosha mbona mie mwenzako siku za uchaguzi tu huwa natoka kwenda kwenye foleni ya kupiga kura naweza kuwa na mgombea wa ccm lakini nikikukumba idadi ya mara njaa inavyoniuma halafu huwa sijui wapi kwa kura basi napigia kura chama chochote nje ya ccm na sijahi kipigia kura ccm kwaa jili ya scanner yangu ya tumbo inaonyesha ccm kuna wali kuku hela lakini zote ni haramu.

  Siku chadema inaanzishwa pale motel agip na mzee mtei nilikuwa na jamaa yangu alikuwa mbunge ukumbi wa karimjee na alinipa msosi wa nguvu lakini nilivyomkuta mzee mtei anaazisha chama nimwambia yule jamaa yangu mbunge kwamba sasa nitaanza kupiga kura nimeshapata kadi ya kunitoa kwenyehili lindi la umaskini vipi mwenzangu njoo humu cdm akasema ngoja tuone.
   
Loading...