Nasari avuta hisia hisia za watazamaji kwenye pambano la Yanga na JKT Oljoro

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Nasari apokewa na watazamaji kama mbunge wa Arusha mjini rasmi, Mbunge wa Arusha mjini Mh Kamanda Nasari alieingia kwania ya kuangalia pambano la Yanga na JKT Oljoro aligeuka lulu baada ya kila mtazamaji kutaka kusalimiana nae na kumpa mawili matau kama mbunge wa Arusha mjini hali hiyo ilipelekea Nasari kuzunguka uwanja mzima akisalimiana na wazatazamaji na wengi wakisahau kwa muda kilicho wapeleka uwanjani hapo baada ya kumuona kamanda Nasari Joshua....
 
Wakati wa kuondoka ameondoka huku akisindikizwa na vijana wakiimba peoples Power.........
 
Hata mi nilimpa mkono wa pongezi,. Hakunibagua ingawa nilibaa mjezi wa kijani
 
Nassary 2015 uje na tabora ugombee tutakupa tu jimbo na hata kama utakuwa na majimbo mawili, its ok.
 
Back
Top Bottom