Kikwete atoa msmaha kwa wafungwa 1973

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Kwa masmaha 1973 nasikia
yumo Babu Seya na mwnae
ya kweri haya au upepo unapita.....
Sosi...................................
 
Kwa masmaha 1973 nasikia
yumo Babu Seya na mwnae
ya kweri haya au upepo unapita.....
Sosi...................................

Huwa naskia tu wafungwa wamesamehewa lakini wasiwasi wangu ni kwamba ...huko hawasameheani kindugu kweli
 
Kuna mtu nimemuona jana uraiani na alihukumiwa miaka 60 na hukumu yake iltolewa mwaka jana! Kikwete unalijua hilo? Tunaomba kujua hii misamaha inawahusu wafungwa wa aina gani!
 
Back
Top Bottom