Uhamiaji,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ,,,,,,, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhamiaji,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ,,,,,,,

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MwanajamiiOne, Apr 26, 2012.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hivi mpaka wahamiaji haramu wagome huko Mbinga, Songea kwa shinikizo la kurudishwa kwao, Serikali iko wapi? Nani analipia hizo Drip walizotundikiwa hao waliogoma, vitanda na huduma wanazopewa??.......Hivi kwa nini kusiwe na sheria ya kuwa na wiki moja tu tangu kukamatwa kwa wahamiaji haramu na kurudishwa makwao?? Mpaka wagome kweli??
   
 2. M

  Mboerap Senior Member

  #2
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tena wamesema rais alitoa msamaha kwa wahamiaji hao tangu Desemba 2011. Sasa walikua wanasubiria nini kupelekwa kwao?
   
 3. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Ujanja ujanja tu hawa wahamiaji haramu wanakura sana jasho letu walipa kodi
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Apr 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka kuna wahamiaji haramu waligoma mpaka enzi hizo aliyekuwa Laurent Masha alipokuja kumaliza mgomo huo.

  Kuna shida fulani katika hili.

  Lakini vilevile ni somo kwa hao wahamiajo haramu ili wakirudishwa iwe funzo kwao. Ukiwafanyia wepesi watageuza mchezo hao.
   
Loading...