Nostradamus | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nostradamus

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kichuguu, Sep 6, 2010.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Sep 6, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Nostradamus ni jina la kilatini alilopewa mfaransa Michel de Nostredame kama ambavyo ndugu yetu Hashim Thabit anavyojulikana leo kwa jina la Hasheem Thebeet. Mtu huyu anakumbukwa zaidi katika historia kwa kuwa mbabaishaji. Aliishi kwa kuandika mashairi ya kibabaishaji na baadaye akajifanya kama mtu mwenye uwezo wa kutibu ingawa hakuweza kumtibu mke wake wa kwanza na watoto wote aliopata na mke huyo.
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Sep 6, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Dah, mod wewe umekuwa mkali kupita kiasi. Mimi nilikuwa natoa somo kuwa kuna watu wanapata umarufu wa kisiasa kwenye jamii kwa kutumia njia mbaya, sikuwa natoa pongezi kwa huyu Nostradamus wako anayejaza upupu hapa jamvini. Kunileta kwenye kutoa pongezi ni kupunguza makali ya somo langu
   
 3. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huyu Nostradamus wa humu JF is just a bootlicking and desperate apologist. Aliingia humu JF akijifanya ni motivational speaker na kufanikiwa ku-hoodwink many pple.......... Baadaye rangi zake zote zikaonekana.

  Nilichikiona kwa huyu dogo ni tatizo lile lile la watanzania wengi......... Partial Knowledge, which is absolutely dangerous, mtu ameattend kikozi cha motivation for say 36 hrs. Tayari naye anataka kujifanya ni expert on such matters.
   
 4. D

  Dopas JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Asante kwa kutufungua macho. Tulidhani ni jina kubwa kubwa kumbe BONGE LA ......
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Hata mimi siwaelewi dawati la ufundi wana maana gani kuileta huku hii topic.:mad2:
   
 6. M

  Mkulima mimi JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 233
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Ah! Mbona huyu nostradums kapunguza makeke tangu kichuguu ulete hii kitu! Maana ukienda majukwaa ya siasa na uchaguzi alikuwa anafurika mbaya! Siku hizi kaibuka tandale kuziba gap!
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  I love this topic... kwa tuliyoyaona wika kadhaa zilizopita, nadhani Nostradamus hajapumzika bado
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
Loading...