Magari yote hukaguliwa na Polisi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magari yote hukaguliwa na Polisi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tanzania Mpya, Apr 26, 2012.

 1. Tanzania Mpya

  Tanzania Mpya JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 248
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Suala hili linashangaza, Magari mengi yanayotembea barabarani ni mabovu hasa daladala lakini Polisi wanajisifia kwamba wabakagua magari yote na kuyapa stika ya ubora! Hivi ni kigezo kipi wanatumia ktk ukaguzi wao?
   
Loading...