Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kuna tatizo gani kwenye website ya gazeti la mwananchi. Toka jana imekuwa haipatikani,napata hizi messages Internet Explorer cannot display the webpage and Database Error: Unable to connect to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwanzoni nilikuwa nadhani ni swali rahisi lakini ninavyosoma kanuni za Bunge na baadhi ya thread na matukio ya siku hizi tatu nimeona kuna ugumu kidogo kwa suala hili. Kanuni za Bunge ibara ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Duh hii documentary inayoonyeshwa sasa ivi tbc imenisikitisha sana jamani watanzania hivi albino wametukosea nini? ee mungu ee? nalaani sana mauwaji ya albino
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauliza hili kwa sababu zifuatazo:- 1. Baada ya Uchaguzi wa 2010, Mheshimiwa Rais alichukua muda mrefu kabla hajatangaza Baraza la Mawaziri; katika kipindi ambacho tulikuwa hatuna mawaziri, Nchi...
0 Reactions
5 Replies
944 Views
Nikiwa napata chakula cha mchana maeneo ya mji mpya pembeni kabisa na tawi la ccm wakaja washikaji wengine wakiwa na karatasi wakakaa pembeni yangu wakaagiza msosi. Mazungumzo yao yalinivuta...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna jamaa mmoja hapa mtaani ambae ni ndugu wa mbatia nilimdadisi kuhusu nduguye kupewa ubunge buuure, wakati ni mpinga sera za ccm, akanijibu kwamba mbatia mara nyingi toka akose ubunge na kufuta...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Muhtasari: WAZZUB ni mtandao wa kijamii unagawia sehemu ya mafanikio yake kwa watumiaji wake. Inapenda kuwatambulisha njia mpya ambayo unaweza fanya manunuzi bila kutumia fedha zako.Kwa kujiunga...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama Haumjui Deo filikunjombe nenda ludewa. Jamaa ameshajua safari yake na Magamba imekuwa nzito baada ya kutambua miguu haina nguvu tena ya kukimbia. Deo amejikuta akiwa na ugomvi kila mara na...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Sote tunashabikia ushindi au kuanguka kwa wagombea mbalimbali wa ubunge. Ni kweli kesi hizi zina time limit na serikali iliingia kibindoni ili kesi hizi zisikilizwe. Kweli siasa imetukuzwa na ndo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nanujua watu wak emko wengi, haya endeleeni kujaribu kufukia ukweli. Huyu bibi wa TANESCO Badra mbona ni bogus sana na bado kuna watu wana mshinikiza Mhando aendelee naye tuu!? Sio mara ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mbunge wa wawi mh.Hamad Rashid Mohamed,ambaye pia ni muwakilishi wa tanzania ktk umoja wa mabunge duniani (CPA)aliwaeleza wajumbe wa semina ya uchaguzi ktk mfumo wa kidemokrasia jana,kwamba vyama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimecheka sana jana nilipokuwa naangalia itv, pale kikundi cha uamsho kilipopigwa stop na kutoa maoni kuhusu kuvunja muungano. Kwa jinsi jamaa walivyokuwa mbogo kutaka kuvunja muungano, hebu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Siku tatu baada ya rais 'kuwachimba mkwara' wezi wa pesa za umma hasa wa halmashauri za miji na manispaa milioni 62 zitaliwa muda mfupi ujao na wezi wazoefu wa Idara ya afya ya jiji la Mwanza...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakurugenzi 35 wabadhirifu wachukuliwa hatua za kinidhamu..
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajf...nimesikia taarifa ya Nape kuhusu kushughulikia viongozi wa taasisi na mashirika ya umma yaliyotajwa ktk ripoti ya CAG na bungeni...ni yapi hayo? Kwa upande wangu nakumbuka TBS...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Binafsi mimi ni mtu ambae ninapenda sana manzari nzuri hasa pale inapopambwa na uoto wa asili au miti ya kupandwa pamoja na maua. Dar ilbadilika ghafla na kuwa jiji linalovutia katika barabara...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa kweli ni aibu sana kuwa na tv ya taifa tena kwenye satelite ya kimataifa kama Dstv na kuwa kituko. Kila kukicha ni mauozo tuu. mara mitambo haitoi sauti mara kelele za watu wengine wana sikika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi huyu Riziwan kikwete ni nani ndani ya nchi hii? mimi nikiwa mmoja wapo wa wa wapiga kura wa shinyanga tuliofungua kesi dhidi ya mbunge feki wa shinyanga mjini ndugu Masele nimeshindwa kuelewa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Baada ya kukosa chumba cha upasuaji kwa zaidi ya mwaka na wagonjwa kuteseka sasa limeibuka jipya la kutokuwa na hata nyuzi za kushonea wakina mama wanaojifungua na kuchanika ama kuongezwa njia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom