Mashirika gani JK kuyashughulikia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mashirika gani JK kuyashughulikia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by julisa, Apr 28, 2012.

 1. j

  julisa JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Habari wanajf...nimesikia taarifa ya Nape kuhusu kushughulikia viongozi wa taasisi na mashirika ya umma yaliyotajwa ktk ripoti ya CAG na bungeni...ni yapi hayo?

  Kwa upande wangu nakumbuka TBS na MSD
   
 2. s

  sparrow Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanesco
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,059
  Likes Received: 6,506
  Trophy Points: 280
  tbs. reli
   
 4. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Mimi ningekuwa ni yule Ekelege wa TBS ningeitumia siku ya Jumapili 29/04 kukabidhi gari, ofisi na vitu vinavyoendana na ofisi ya MD wa TBS. Bora lawama kuliko fedheha atakayoipata siku ya kuambiwa na JK kabidhi.
   
 5. k

  ksalama0 Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Aiangalie pia na UDOM kwa macho makubwa tena avae miwani yenye lenzi kali ndio ataona vizuri mambo yaliyoko ndani yake.
   
 6. nxon

  nxon JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,149
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  reli na bandari
   
 7. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Jamani huyu Ekelege bado yupo tu? Ana subiri nini wakati angetumia muda huu kukabidhi mali zake?
   
Loading...