Documentary ya kutisha TBC1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Documentary ya kutisha TBC1

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sikiolakufa, May 4, 2012.

 1. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh hii documentary inayoonyeshwa sasa ivi tbc imenisikitisha sana jamani watanzania hivi albino wametukosea nini? ee mungu ee? nalaani sana mauwaji ya albino
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Duuuuh albino nao ulikuwa upepo mbaya ulipita lakini saizi ni shwari. Kiukweli jamii ya watu hawa wana matatizo mengi sana.
   
 3. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ile sehemu wale semeni na shida wanapanda basi kwenda Dar kuna yule rafiki yao anawapungia mikono nimetokwa mchozi msimuliaji aliposema huenda ndo mara ya mwisho kuonana nao.
  Hii dunia ikoje lakin?
   
 4. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu nimesikitika sana....i see... mimi ni msukuma nalaani hili kabila
   
 5. n

  ngulimi lillo New Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jf mtangazaji ni nani au Vicky Ntetema?
   
 6. s

  sikiolakufa JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yes vicky ntetema nadhani hiyo kazi ndiyo ilimpa award kipindi fulani
   
Loading...