Television ya Taifa or TBC1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Television ya Taifa or TBC1

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by supermario, May 4, 2012.

 1. s

  supermario Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli ni aibu sana kuwa na tv ya taifa tena kwenye satelite ya kimataifa kama Dstv na kuwa kituko. Kila kukicha ni mauozo tuu. mara mitambo haitoi sauti mara kelele za watu wengine wana sikika kwenye kipindi tofauti. uimara wa muonekano ni hovyo kabisa. Hivi ndugu zangu watz,ni halali kabisa kwa anaendesha hili shirika kuwa analipwa na na kupewa benefits za kuwa mkurugenzi na wakati kazi ni hovyo kabisa?
  Huyo MD ivi ana muda hata wa kutazama kituo chake? Au ndo tumeridhika na standard ya kazi inayofanywa na TBC jamani? Kule Dstv kuna channel inaitwa Citizen ya nchi jirani...inamaendeleo makubwa kuliko!

  what is going on na sie watzd jamani? its a pitty kuwa nyuma kiasi hiki jamani...inauma sana....hata sijui what needs to be done.

  Mungu hatotusaidia hata kwa mambo tunayo yafanya sie wenyewe!!
   
 2. CLONEY

  CLONEY Senior Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Kinachotuponza watanzania kuchanganya siasa na masuala ambayo hayahitaji sisa kabisa linapofika suala la siasa hatuangalii hata ushauri wa kitaalamu yaani kila mtu yupo kutimiza maslahi yake japo wapo wachache wanaotekeleza wajibu wao ipasavyo lakini wanafunikwa na wengi waharibifu.Mi nawaambia kama kila mtu akifanya anachotakiwa kufanya bila kuingilia upande wowote au bila kuingiliwa mwezi mmoja tu utaona mabadliko kote,hata hiyo rushwa ufisadi hutaviona.
   
Loading...