Ushauri: JK, Peleka Magufuli TAMISEMI akaue mchwa kwa risasi za tembo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri: JK, Peleka Magufuli TAMISEMI akaue mchwa kwa risasi za tembo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kasheshe, May 4, 2012.

 1. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ushauri tu.
   
 2. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Kasheshe,

  Ningekuwa mimi ningempandisha cheo A Mwanri naibu waziri TMISEMI sasa.


   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mwanri panamfaa sana apo!
  ILA APUNGUZE BIT ZA APA NA PALE!
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mwanri ni big mouth tu. Akishaongea mbele ya vyombo vya habari anapotea. Hafuatilii maamuzi yake na ndio sababu madudu yale yale yanajirudia.
   
Loading...