Nazidi kuifurahia ziara yangu ya manyara

muislamsafi

Member
Jan 25, 2012
78
20
Nikiwa napata chakula cha mchana maeneo ya mji mpya
pembeni kabisa na tawi la ccm wakaja washikaji wengine
wakiwa na karatasi wakakaa pembeni yangu wakaagiza msosi.

Mazungumzo yao yalinivuta sababu nilisikia neno chadema
walikuwa wanajadili jinsi ya kulifunga tawi lao wakamuuliza muhudumu
kama kamuona dick kwasababu sahii yake peke yake ndiyo ilikosekana
kati ya memba 25 wa tawi hilo ili tawi lifungwe rasmi lipakwe rangi ya ukombozi
wajiunge na chadema nikadakia maongezi nikasema "mtu mmoja hawezi
sababisha tawi lisifungwe tena memba wakawaisda kabisa mwenyekiti, katibu,

mwekahazina na wajumbe wote wamesain yeye tu fungeni tawi bana"nikachombeza
mwekiti aliyejitambulisha kwajina la nangar akasema"dick nikamanda wetu hatuwezi kumuacha
na magamba lazima tuondoke nae na jana aliniakikishia sahii yake"
natamani sana ziara yangu isiishe ili nipate nafasi ya kushuhudia bendera ya CDM ikipaa hapa
ORIGINAL
BY MUISLAMSAFI
 
Angalia isije ikawa story za mgahawani.Na kama ni kweli kila la heri.
 
Mkuu swali ulilouliza lilikuwa kichokozi sana, jamaa wangeweza kukugeuka na kukudunda isitoshe u mgeni pale!
 
Back
Top Bottom