Njia Mpya ya Manunuzi bila ya kutumia fedha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njia Mpya ya Manunuzi bila ya kutumia fedha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Wplus, May 3, 2012.

 1. W

  Wplus Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muhtasari:
  WAZZUB ni mtandao wa kijamii unagawia sehemu ya mafanikio yake kwa watumiaji wake. Inapenda kuwatambulisha njia mpya ambayo unaweza fanya manunuzi bila kutumia fedha zako.Kwa kujiunga tu bure na kuwaalika wenzako nao wajiunge,unapata kitu kinoitwa "Dealpoints" ambazo unaweza kuzitumia kununua vitu bure kwenye orodha ya maduka yao teule,pia kwenye migahawa yao teule,pia kucheza games na wengine ambapo unaweza shinda fedha.

  Maelezo:
  Unapenda kufanya manunuzi? Au kupata chakula kwenye migahawa? Au unapenda kucheza games ambapo ukiwa mshindi unatunukiwa pesa taslimu? Ondoa shaka, fedha si kila kitu! Kuna dunia mpya ambayo haihitaji fedha kufanya manunuzi ama kupata chakula !
  Inahusu kuwa na dealpoints na kuzitumia, umeshaskia hilo?
  Kuzipata haiitaji utumie fedha yako yeyote na unapewa hizo points kila mwezi! Dealpoints ni sawa na fedha,unaweza tumia deal points kununua vitu bure (na hiyo ni 100% ), Unaweza zubadilisha zikawa coupons ambapo unaweza kupata chakula cha mchana au usiku bure katika migahawa teule.

  Mfano:
  Tuseme una point 100 ambazo ni sawa na 10$ katika mwezi husika na umeona kitu ulichokipenda cha 10$ katika duka teule hiyo inamaana utaweza kukichukua hicho kitu bure! Au pengine tuseme kupata chakula ni 10$,kitachohitajika ni kubadilisha dealpoints kuwa kuponi na kupata chakula katika mgahawa husika.

  Kuzipata dealpoints:Jisajili hapa http://signup.wazzub.info/?lrRef=ad322
  Muhimu:Hakikisha unacheki email yako na KUTHIBITISHA uanachama wako!
  Baada ya kuthibitisha uanachama wako utapewa link yako ambayo utawatumia marafiki zako wengi iwezekanavyo ili nao wawe wanachama ,kadri wengi watavyojiunga kupitia hiyo link yako kuna kitu kinaitwa DealFactor kitaongezeka,hichi kitakua ni kiamuzi cha points ngapi upewe .
  Kila mwezi DealPoints kadhaa zitapewa kwa DealFactor moja hivyo ukiwa na DealFactor Kubwa utakuwa na points nyingi kuanzia july,2012.

  Hivyo Harakisha kwenye kujiunga na ujenge DealFactors ili uwe na nafasi nzuri ya kupata points nyingi na uweze kufanya manunuzi bure.DEALPOINTS ni sehemu ya full project ya WAZZUB,ambayo full version itakamilika hivi karibuni. Kwasasa ipo katika beta launch ambapo unaweza pia ukajaribu baadhi ya functionality hapa www.perfectinter.net
   
 2. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  aisee!
   
 3. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mkakati mzur kuelekea NWO...
   
 4. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  ngoja nipitie fresh nitarudi baadaye kidogo.
   
 5. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  Mbona tena kama unanipa wasiwasi? Charminggirl , mwanzisha uzi njoo ufafanue hapa nyie mnafaidikaje na hiyo project?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. M

  MWIGOLA Senior Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 172
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  nilifundishwa kuwa chini ya jua hakuna bure
   
 7. N

  Nyumisi JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60
  Mnataka kuibia watu.
   
 8. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,114
  Likes Received: 1,743
  Trophy Points: 280
  Yale yale ya DECI! dunia ya leo bure hakuna,lazima masharti na vigezo vizingatiwe! kalagabaho!
   
 9. Y

  Yasser5 JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ,mmmh na nyinyi mnakula wapi?
   
 10. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Wizi wa kalamu na wasomi wetu.
   
 11. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #11
  May 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Duuuh....! Imeamia tena kwenye manunuzi na sio kuwapa watu zile pesa walizohaidi ukiunganisha watu kwenye site yao. Amakweli huu utapeli umezidi.
   
 12. W

  Wplus Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DEALPOINTS zitakuwa accomodated when project is completed.it is now closer to completion.

  FULL PROJECT imekuwa termed as PERFECT INTERNET na inaendana na domain kimatamshi,na project now ipo katika beta launch ila mnaweza test some modules hapa www.perfectinter.net

  Hii ni update ya timeline,events na ukiitaji kujua wapi imekuwa registered na mengineyo..
  WAZZUB - The Power of "We"!

  Advantage ni nini ?ukiperuzi hapo kwenye link ya perfectinter.net utaona frames,project itakapokuwa full unaweza ukapapesonalize kwa matumizi yako binafsi ,say una busines yako or u want to have all links you like in internet in one place.If you wont do so basi hyo itakuwa ni default page...advantage hii ni ukiachana na PSP and/or SSP (for members).

  First Part of the project was termed as PSP(Profit Sharing Phenomenon)this was for users who joined befor april 14th...hao ndio wanakuwa eligible for payment lakin pia wakifulfil its coresponding criterias.

  Second Part is termed as PSP(Succes Sharing Phenomenon)..hapa ndio unakutana na concept ya DealPoints.

  **Anyway kitu kikiwa katika startup most people huwa wako skeptical. Lets wait and see.
   
 13. M

  McJO-CHINAKA Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Changa la kichwa na c macho.
   
 14. Y

  Young zee JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 398
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hii naifananisha na injili kabla na wakati wa ukoloni. Eti mpende adui yako-wao wanawakamata babu zetu toboa mguu funga nyororo peleka utumwani.

  Pia huu usemi " NO FREE LUNCH" unanifunga.
   
 15. M

  Mboerap Senior Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  So! Ndio na wewe unatafuta watu ili upate hizo sijui unaita nini vile ujikusanyie hayo mapoint?
   
Loading...