Mwenyekiti wa chama Tawala (CCM) Kumteua mwenyekiti wa chama cha upinzani (NCCR Mageuzi) kuwa mbunge inamaanisha nini?
je Mbatia atakaa kambi gani bungeni?
I love Tanzania bses is the only...
watanzania wengi si wapenzi wa kusoma vitabu na magazeti(isipokuwa ya udaku),lakini ni wapenzi wa kuangalia telenovela zinazorushwa katika vituo mbalimbali vya televisheni.Wito wangu kwa vituo vya...
1.Ingawa anagawa vitalu kinyume cha sheria anakula bata.
2.Aliyetorosha twinga na anyama wengine anapeta mtaaani.Its totally unfair,we are exercising double standards!
Maalimu Seif Wa CUF aliambiwa kujivua nafasi ya Katibu Mkuu Taifa baada ya kuteuliwa na serikali sasa Mbatia anaponaje???
Kama Mbatia atabaki kuwa Mwenyekiti Taifa hii ina maana gani kwa...
ndugu wana jf, basi la abiria la kampuni ya sumry likitokea dar kwenda kigoma limeteketea kwa moto katika eneo la chinangali mkoani dodoma. awali basi hilo liliharibika na kukaa muda mrefu eneo la...
WAKATI dunia ikiadhimisha siku ya uhuru wa habari duiniani,kituo binafsi cha Radio Sunrise cha jijini Arusha kimemwagiwa sifa kwa kurusha matangazo ya moja kwamoja hususani matukio na mgeni rasmi...
WANAJESHI watatu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na askari Polisi wawili akiwemo Ofisa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Wilaya ya Kigoma, Mohamed Kilonzo wamejeruhiwa vibaya katika...
Katika gazeti la Raia mwema la jana May 2, ana makala yenye kichwa cha habari 'Mwalimu Nyerere amefufuka.Yuko Sumbawanga'katika aya ya pili ya makala yake anaandika,"kisa ninachokisimulia kwenye...
Hukumu ya Kesi ya uchaguzi jimbo la kasulu vijijin kati ya mh zaitun<mbung-nccr> na mshitaki mr nsanzugwanko ni leo hii.niko mahakamani nitawajuza linalojili. Madai ya nsanzu ni kwamba mh. Zaituni...
INGAWA serikali imeshindwa kudhibiti upandaji holela wa bei ya mafutanchini na kusababisha kupanda kwa gharama za usafirishaji hususan wa vyakula,lakini bado kulikuwa na njia ya kudhibiti bei...
kuna minong'ono inaendelea huku mjini arusha kuwa baada ya Godbless Lema kuvuliwa ubunge wa arusha mjini,mji huu umeanza kupata mikutano ya kimataifa ambayo ilikuwa adimu wakati wa ubunge wa Lema.
Wana JF,
Habari za uhakika toka ndani kabisa zinasema kwamba JK ameita mkutano wa waandishi wa habari kesho asubuhi pale Ikulu. Hii ni wazi kwamba baraza la mawaziri litatajwa hapo. Hii ni uhakika...
Poleni na majukumu ndugu zangu.
Nafikiri tuangalie upya structure ya baraza la mawaziri and if possible the reporting line. Personally I dont care who are appointed into those posts but my concern...
Nimekuwa nikimfatilia sana naibu waziri wa elimu kuna siku alionekana anasoma attendance register kwenye parade,siku nyingine anakagua mitaala ya shule,jana analaumu necta live kwenye tv kwa kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.