Usishabikie tu, tafakari kisha pima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usishabikie tu, tafakari kisha pima

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mjenda Chilo, May 4, 2012.

 1. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Sote tunashabikia ushindi au kuanguka kwa wagombea mbalimbali wa ubunge. Ni kweli kesi hizi zina time limit na serikali iliingia kibindoni ili kesi hizi zisikilizwe. Kweli siasa imetukuzwa na ndo maana hata wataalam wetu wanakimbilia huko. Je unajiuliza ni mahabusu wangapi walioko katika magereza yetu kwa zaidi ya hata miaka kumi na kesi zao hazijasikilizwa? Ni upuuzi tu. Na ndo maana wanasiasa wanajilipa vizuri, wanatuibia, hatufanyi kazi tunawazungumzia wao, kila kawa mwandishi wa habari wa kutafuta na kusoma habari zao.Laiti tungalijua gharama kubwa tena isiyo na tija ya wanasiasa wetu hawa, hawa watu wa longolongo, wajanjajanja, miungu watu, wala vya haramu hawa. Haingii akilini msomi kama Shivji akifundisha na kulipwa kiduchu anatokea mtu kama maji marefu au lusinde analipwa zaidi ya mil 7 na hadhi ya uheshimiwa, diplomatic paspot etc. Ni upuuzi tu!
   
 2. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,114
  Trophy Points: 280
  Na ndio maana nitaendelea kusema.
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Da Comrade Umetisha maneno ya kusema yananikosa kipimo chako ni Cha hali ya juu sana
   
 4. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,091
  Likes Received: 1,712
  Trophy Points: 280
  Nimekubali mkuu! umetisha sana.
   
Loading...