Hr akisema taifa kwanza vyama baadae | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hr akisema taifa kwanza vyama baadae

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KIRUNGI, May 4, 2012.

 1. KIRUNGI

  KIRUNGI Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbunge wa wawi mh.Hamad Rashid Mohamed,ambaye pia ni muwakilishi wa tanzania ktk umoja wa mabunge duniani (CPA)aliwaeleza wajumbe wa semina ya uchaguzi ktk mfumo wa kidemokrasia jana,kwamba vyama vimekua vinatizama sn maslahi yao nakusahau maslahi ya wananchi wanao wakilishwa.

  Ndo sababu havisiti kumfukuza mbunge yyte kwakuwa vyama haviathiriki kwa kiwango sawa na kile ambacho watakacho athirika wananchi waliokosa uwakilishi kutokana na uamuzi wawatu wachache, bila kukumbuka hata ikiwa uchaguzi utarudiwa bado anaebeba gharama za uchaguzi huo ni mwananchi kwakua ndiye mlipa kodi pamoja na mambo mengne mm mleta mada naomba kujua kutoka kwenu wadau kwa maneno haya ya mh HR vipi ile hoja ya mgombea bianafsi ilifia wapi?labda hilo linge punguza ubabe wa viongozi madikteta wasiyo kubali ukweli na kukosolewa.
   

  Attached Files:

 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Alikuwa wapi kusema hivyo hadi siku yalipomfika.
   
 3. KIRUNGI

  KIRUNGI Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yalipomfika yepi?
   
Loading...