TANESCO hakuna mtu mwingine zaidi ya huyu Bibi mipasho?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANESCO hakuna mtu mwingine zaidi ya huyu Bibi mipasho??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAMC, May 4, 2012.

 1. M

  MAMC Senior Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nanujua watu wak emko wengi, haya endeleeni kujaribu kufukia ukweli.

  Huyu bibi wa TANESCO Badra mbona ni bogus sana na bado kuna watu wana mshinikiza Mhando aendelee naye tuu!?

  Sio mara ya kwanza kusikia u_pu_pu wake, ila leo nimeona niandike!!Leo Radio One sa 12:39 asubuhi anahojiwa - kuhusu kuhamisha nguzo kupisha mradi wa mabasi ya kasi - anaanza mipasho kutoa mipasho!
  Ndo taabu ya hawa wadudu, wakisha shikwa mikono tuu basi wanavimba vichwa hata wanasahau "etiquete" za kazi zao.

  What she responded to the reporter today was purely rub_bish.

  Mr.Mhando hebu mn'goe tena hapo, this time tutakusaidia, weka Public Relations Officer ambaye ni Engeneer! TANESCO sio kina Voda, Airtel, etc wa kuuza sura!!
   
 2. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alikuwa Dawasco kakimbilia huko.....She is not competent at all ,,,,,,she is also not deserve to be PR of Tanesco.
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  i see..............
   
 4. Emil Mwangwa

  Emil Mwangwa Senior Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: May 9, 2011
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Badra ni nyumba ndogo ya Lowassa
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Tatizo la dada zetu huwa wana assume nafasi ya mtu aliyemuweka kazini!
  Kama aliwekwa na GM kwa hisani ya URODA basi anajisahau na kujiona yeye kama GM.
  Nshawai mpa za uso one of such people,nkamwambia wewe kutembea na bosi sio kigezo cha kufanya madudu!
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ahhh hatar..nyumba ndogo kumbe?
  so mda si mrefu atateuliwa ubunge vt maalum?
  kuwa mwanamke raha jaman...advant kibaooooooooooo..na kaukimwiii kibaooooooooooooooo hatar.......


  inabd apewe ethcs za kaz yake ...sikosa lake..HAJUI ATENDALO KWA....mgw 100
   
 7. c

  conversant Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wivu na husda ni kitu mbaya huyo sister yuko poa kuwa engineer sio kigezo ndo maana kuna fani ya pr kwenye vyuo. mtoa mada unachuki binafsi n u r such a nut
   
 8. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mfadhili wake kwenye hiyo nafasi si alishajivua na kuelekea malaysia?
  masalia yake nayo tuyafukie ardhini?
   
Loading...