Ni hospitali ya mkoa Kilimanjaro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni hospitali ya mkoa Kilimanjaro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by measkron, May 4, 2012.

 1. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Baada ya kukosa chumba cha upasuaji kwa zaidi ya mwaka na wagonjwa kuteseka sasa limeibuka jipya la kutokuwa na hata nyuzi za kushonea wakina mama wanaojifungua na kuchanika ama kuongezwa njia! Serikali haijaleta pesa haya ni majibu ya watoa huduma. Kina mama wanalazimika kununua nyuzi. Je, Serikali iliyosema huduma bure kwa kina mama iko wapi sasa?
   
Loading...