Unapenda music soma hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unapenda music soma hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ibang, May 8, 2012.

 1. Ibang

  Ibang Senior Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari ,
  Habari njema kwa wasanii wa kitanzania na wa kiafrica, kutana na official facebook page ambayo itakuwa ina playlist ya miziki ya kiafrica mipya na ya zamani katika page ya MAMBO MUSIK ambayo inaenda kwa url ya www.facebook.com/officialmambomusik

  Page hii itasaidia kuinua mziki wa kiafrica ambapo itampa fursa msanii wa Kitanzania na Africa kuweza kusikika duniani kote
  Page itahusisha playlist ya music wa kiafrica, biography zao na habari mbali mbali kwa upande wa wasanii ili nyimbo zao ziweze kuwekwa kwenye playlist yetu ni BURE kabisa na anaweza tuma katika email yetu ya
  isubmission@yahoo.com
  Shukrani,
  Mambo Musik Team
   
Loading...