Note:Wadau hebu tuwekeeni picha halisi ya jengo la Ubalozi wa Tanzania Italia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Note:Wadau hebu tuwekeeni picha halisi ya jengo la Ubalozi wa Tanzania Italia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Matope, May 8, 2012.

 1. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kelele zimekuwa nyingi sana hapa mjini kuhusu ishu hii sasa hata ss twaweza kujua,kuona na kupambanua kama kiasi hicho cha pesa kinaendana na jengo lenyewe?pamoja na mazingira kwamba ni Italy lakini tutajua kwa kuona wenyewe maana kadri siku zinavyoenda hali ya hii kesi inazidi kukua
  mara Mahalu mara JK sasa Mkapa wekeni picha ya hilo jengo tuamue wenyewe wametuibia vya kutosha.
  Na huko mahakamani mnapoteza muda tu ili mwisho eti Mahalu ashinde tambueni utafika muda haya yatakwisha hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho.

  Lengo ni sisi Watanzania tunataka tuanze maandalizi ya kumfunga paka kengere mapemaaaaaaaaaa
   
Loading...