Breakin news basi la teketea kwa moto nje kidogo na mji wa Morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breakin news basi la teketea kwa moto nje kidogo na mji wa Morogoro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Obinna, May 8, 2012.

 1. O

  Obinna Senior Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Basi la Muro investment linalofanya safari zake Dar-Tabora likiwa njiani kutoka Tabora kwenda dar limeteketaa kwa moto nje kidogo na mji wa Morogoro, abiria wote wamefanikiwa kuokolea ila baadhi ya mizigo yao imeteketea kwa moto
  Sorce Radio one

   
Loading...