Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari Wana Jamii, Tafadhali naombeni mnieleweshe, Wana Uhamsho wa Kiislamu ndio nini? au ni watu Jumuiya gani?, Kwani nimesikia kwenye vyombo wakieleza mfano ''kuwa jumuiya za Kislamu za Uhamsho...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Shirika la Reli hivi karibuni linatarajia kupandisha gharama za nauli kwa 50% kwa abiria wa daraja la tatu na 25% kwa daraja la kwanza na la pili! Kulingana na mpango huo Sumatra inawaomba wadau...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa tatizo kubwa la ajira tulilokuwa nalo hapa tanzania mimi sioni sababu ya ekelege kutunyima sisi vijana wa kitanzania nafasi hizi za ajira kwa kutoa tender za ukaguzi wa mizigo yote inayotoka...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutoka Gazeti la Habari Leo. KENYA imetajwa kunufaika zaidi na Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) hivyo kujipatia fedha nyingi za kigeni kutokana na kuuza nje bidhaa zinazotokana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni zaidi ya wiki tatu sasa nafatilia usaliji wa kampuni ambayo itakuwa na kazi kama wakala wa tigo na mpesa na office gen supply. nishakamilisha brela na wiki hii nakamilisha TRA inshallah. Nikiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau, Samahani inaweza ikawa sio mahali pake ila nimesikia leo kupitia Arusha Mambo habari hizi za kumbukumbu ya kifo cha Brenda Fassie wa South Africa na kuwa Mzee Mandela na Rais wa sasa wa...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Jana nilienda ppf tower, wakati nasubiri kupanda lift nilikuwa na wamama kadhaa na mkaka mmoja, tukapanda, nilikuwa nashuka floor ya tano pamoja na wengine 2 , waliobaki walikuwa wanashuka floor...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
By Zavara Mponjika Namna gani watu wangu? Natumia fursa hii kufanya utambulisho mdogo wa jina la kona hii: Jicho La Ra. Pole kwa jamaa zangu wenye athari zinowakwaza...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani kutoka Jana hadi leo nimekwishapata message zaidi ya 20 za kijinga kutoka Airtel, na bado zinaendelea kuingia: mara kuhusiana na English premier league, mara call now for free to get...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ofisi ya mkuu wa wilaya ya Arusha imekumbwa na aibu ya mwaka baada ya uongozi kushindwa kukarabati choo cha jengo hilo kilichoziba kwa muda mrefu ,ambapo kwa sasa kimefurika maji machafu na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Suala la ushiriki wa watanzania wenzetu kwenye shindano la bigbrother lilikwisha jadiliwa bungeni na Serikali ilieleza kuwa hao washiriki wanajiwakilisha wenyewe na kuwa washiriki hao...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Takribani masaa 3 yamepita tangu wananchi wa mji huu kushindwa kwenda sehemu mbali mbali za ndani ya mji na wengine kwenye shughuli za ujenzi wa taifa Kuna mgomo unaendelea wa Daladala. Wahusika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1.Alishawahi kuongea na waandishi na kuwambia kuwa tatizo siyo yeye ila tatizo ni POST Aliyo nayo hata kama apelekwa malaika matatizo hayataisha. 2.Ni nguma kumchinja kuku anaehatamia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Facebook hit 488 million mobile users which is absolutely amazing! There is no other app in the world that would have that many mobile users. Facebook has 50% of all its users on mobile phones and...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Mimi nikijana nimemaliza form four na kingereza changu siyo kizuri.kunawatu wamenishauri nijiunge na kozi fupi za kiingereza pale british council.napenda kujua kama kunamtu anauzoefu na mafunzo ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
"...The true test of our devotion to freedom is just beginning. I have walked that long road to freedom. I have tried not to falter. I have made missteps along the way. But I have discovered the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Prof SHABAN MLACHA (profesa wa kiswahili) anatajwa kua mtu anaye vuruga chuo kikuu cha dodoma (UDOM). Yeye naibu makamu mkuu wa chuo anayesimamia mipango, PESA, na utawala lakin inasemekana ndiye...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Na Richard Makore 9th May 2o12 Viongozi wa umma 141 wamehakikiwa mali zao ili kubaini kama kulikuwa na udanganyifu wakati wakijaza fomu za mali wanazomiliki pamoja na madeni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza tazama kwa umakini picha hii ndipo uingie kwenye details zaidi Nimeona vyema kuanzisha a separate thread hii tofauti na ile ambayo sasa inaelekea page number four (Click here) kwa...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom