Tuwapongeze wakazi wa songea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuwapongeze wakazi wa songea

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, May 7, 2012.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  baada ya kufanya maandamano ya kushinikiza upatikanaji wa umeme hatimaye mafundi wa Tanesko wameweka kambi mjini humo ili kuhakikisha umeme unapatikana.
  Hali ya umeme imeanza kuwa nzuri na hii inaashiria wananchi wakiamua hakuna linaloshindikana.
  BRAVO WANASONGEA!
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  na siku nyingine wajifunze kuwa na maamuzi magumu.......hivi ni nani mbunge wao.....?
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  atajitokeza dakika za lala salama mwaka 2015
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  hawana mbunge baada ya Nchimbi kuchakachua na Nec kumtangaza. Binafsi nawapongeza sana maana waliamua kuwa wabunge na kuwasilisha matatizo yao wenyewe maana mbunge waliyemchagua hakuwa kipenzi cha nec na Nchimbi yupo bize na jamaa wa clouds! Big up wanasongea!!!
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  jenista mhagama amebanwa na shughuli za uwenyekiti wa bunge!wanalizombe wameonyesha mfano wa kuigwa,umeme hakuna tunaingia street mpaka kieleweke!!
   
 6. n

  ngarambe Senior Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 100
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napita
   
 7. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hii wizara ya nishati kuna siku mteule atakataa uteuzi huu maana watangulizi wamevurunda sana
   
 8. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawana Mbunge Mkoa Mzima. Hiyo ni Ngoni Movement towards 2015.
   
 9. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Unayoyasema ni kweli....mimi ni mwenyeji wa Songea,ni kweli mgombea wetu kupitia CDM walimchakachua live.
  Lakini 2015 nitarudi tena home,nitapiga kura,na kuzilinda.
   
 10. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,441
  Likes Received: 10,651
  Trophy Points: 280
  hata ukarabati wa baraza umetokana na shinikizo.


  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 11. bushman

  bushman JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,312
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Songea not the same nchimbi hawezi kuwa na uchungu na watu wa songea ni zao la wanamtandao (kikwete 2005)alirudi songea kupata ubunge na sio m kazi wa songea bali ni mbeya tunakutana 2015 kama atapata muda kuchakachua kwa watu ambao hawamtaki,ntarudi kuamsha kampeni!!!!!!!!!!!!! Na kupiga kura!!!
   
 12. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hawa jamaa wanabahati mbaya si hata yule muimba kwaya alipewa ubunge huko kwa sababu kaimba sana nambari one!
   
Loading...