PICHA; Waziri & N/Waziri Habari, Vijana, Utamaduni na michezo wawasili ofisini leo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA; Waziri & N/Waziri Habari, Vijana, Utamaduni na michezo wawasili ofisini leo!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiganyi, May 8, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [h=3]
  [/h] [​IMG]
  Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akifurahi na baadhi ya Watumishi mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara hiyo zilizopo katika Jengo la Golden Jubilee.
  [​IMG]
  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akisaini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasali katika Ofisi za Wizara hiyo, anayeshuhudia ni Katibu Mkuu, Bw. Sethi Kamuhanda.
  [​IMG]
  Baadhi ya Watendaji wa Wizara na Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakimsikiliza kwa makini Mh. Waziri Dkt. Fenella Mukangara wakati alipokuwa akiongea na Uongozi wa Wizara hiyo.Kushoto ni Mhasibu Mkuu wa Wizara Rose Bandisa,katikati ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Leornard Thadeo na Mkurugenzi Mtendaji wa TBC Bw. Clement Mshana.
  [​IMG]
  Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akisisitiza jambo kwa viongozi wa Wizara na Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo (hawapo pichani) mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara hiyo.Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mh. Amos Makalla.
  [​IMG]

  Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mh. Amos Makalla akiongea na Uongozi wa Wizara hiyo (haupo pichani) mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara hiyo. (Picha Zote kwa Hisani ya WHVUM)
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,486
  Likes Received: 19,879
  Trophy Points: 280
  mama kaingia kwa mbwembwe....kwanza kavaa vazi la taifa la china hana tofauti na huyu hapa
   
 3. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Duh! Saint Umeua kabisa!
   
Loading...