Chadema mnaelewa kuwa CCM haina papara?

Babylon

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
1,332
82
Mikutano ya chadema imekuwa ikivutiwa na watu wengi kama tunavyojionea katika Tv na magazeti pia tunajisomea habari kuwa baadhi ya wanacha wa ccm wanajinga chadema kama ni kweli hilo,lamuhimu zaidi ni kuelewa CCM ushidi wake upo kwenye kura na sio katika mikusanyiko ya wingi wa watu katika mikutano,siku zote wamekuwa wakisema hata wanachama wao huenda kwenye mikutano ya chadema sio kama wanakipenda hapa bali nikusiliza nini kinasemwa na chadema,mfano mdogo hata hapa zanzibar wakati wa uchaguzi uliopita Dk shein alisema mawakala wao walikwisha wambia watashinda lakini hawakuwambia watashinda kwa kiasigani matokeo yake kweli walishinda.hivi ni miongoni mwa sra za CCM wanapanga na kuona matokea in advance.
 
naona siku hizi sera za ccm ni kuua tu..Movement for killing ama kweli hamna papara
 
hujui kitu kuhusu legitimacy decline ndio maana unatumia historia bila kuona prevailing condition,be keen look inside the container, do u think diesel and korie are exactly the same?
 
Bwana mmoja alipanda mpunga kisha akaenda zake.Baada ya muda akawatuma watumishi wake wakakague shamba.Waliporudi wakamwambia mwenye shamba;"Bwana ,ulivyoondoka shambani,adui naye alienda shambani na kupanda magugu,hivyo tunataka kwenda kuyatoa".Yule bwana akajibu,"Yaacheni yakue pamoja,wakati wa mavuno kila kitu kitajitenga,kwa maana mzeituni hauwezi kuzaa zabibu".

Mtoa mada,wewe ni gamba tu,ila tutakuvumilia tufike wote,nawe ule matunda ya ukombozi,amen.
 
mikutano ya chadema imekuwa ikivutiwa na watu wengi kama tunavyojionea katika tv na magazeti pia tunajisomea habari kuwa baadhi ya wanacha wa ccm wanajinga chadema kama ni kweli hilo,lamuhimu zaidi ni kuelewa ccm ushidi wake upo kwenye kura na sio katika mikusanyiko ya wingi wa watu katika mikutano,siku zote wamekuwa wakisema hata wanachama wao huenda kwenye mikutano ya chadema sio kama wanakipenda hapa bali nikusiliza nini kinasemwa na chadema,mfano mdogo hata hapa zanzibar wakati wa uchaguzi uliopita dk shein alisema mawakala wao walikwisha wambia watashinda lakini hawakuwambia watashinda kwa kiasigani matokeo yake kweli walishinda.hivi ni miongoni mwa sra za ccm wanapanga na kuona matokea in advance.

vituo vya kulea watu wenye mtindio wa akili vimefungwa; jf tuwe makini na watoa mada kama hizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom