Msaada tutani..(Kuweweseka usiku)

web engineer

Member
Mar 19, 2012
55
0
Salaam.

Kuna jamaa yangu,huwa kira mara usiku anaongea wakati amelala. Mara kuna siku alishutuka na kuruka kitandani.

Naombeni kujuwa tatizo ni nini?
Asanteni
 
Back
Top Bottom