"Chaguzi ktk vyuo vikuu nchini na taswira ktk taifa letu"

buhange

JF-Expert Member
Oct 23, 2011
505
110
Ndugu wana JF Mwezi May ni mwezi mahususi ambapo Wanafunzi ktk Vyuo vikuu mbalimbali nchini hupata fursa ya kutimiza haki ya yao ya msingi kikatiba( yaani kuchagua au kuchaguliwa ktk ngazi mbalimbali za uongozi. Nimefikiria kuanzisha thread hii ili kutoa nafasi kwa Wana-JF tuliopo vyuoni na hata tulio na access ya informations kuhusiana na hili tuweze kutoa kero na maswahibu mengine yanayotokea ktk mchakato mzima, kuanzia kwenye Uundwaji wa tume za kusimamia chaguzi hizi, usawa ktk ushirikishwaji, makundi kiitikad n.k ili kupata taswira halisi kwa ajili ya mstakabali wa taifa letu la Tz Haya...uwanja ni wako ndugu....
 
Back
Top Bottom