Nini kilichopo nyuma ya pazia?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kilichopo nyuma ya pazia??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, May 7, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,542
  Likes Received: 2,240
  Trophy Points: 280
  Leo Rais Mstaafu BWMkapa alienda mahakamani kisutu kama mtetezi wa Balozi mahalu juu ya ununuzi wa nyumba kwa ajiri ya ubalozi wa Tanzania nchini Itali,
  Katika utetezi wake kasema yeye alipata pendekezo la serikali kununua hiyo nyumba kwa ajiri ya ubalozi watanzania na yeye alikubali kwakuwa alikuwa amepata ushauri kutoka serikalini na hakuwahi kusikia malalamiko juu ya uamzi huo!Mpaka ana staaafu
  Inamaana anataka kusema serikali iliyopo madarakani haikufanya maamuzi sahihi??Je nini Mkapa kina msukuma yeye kama Rais Mstaafu kwenda mahakamani kama shahidi? je sheria inasemaje endapo mahalu atatiwa hatiani je Mkapa hawezikufunguliwa mashitaka ya kuihadaa mahakama na kutumikia kifungo??je kama anakinga anatakiwa kwenda mahakamani kuwa kama shahidi?
   
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna kitu.
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Kesi zenu za chuki za kunyanganyana vimwana zitawafikisha mbali.......................BTW, ulisikia wapi mtuhumiwa akitiwa hatiani shahidi anawajibika?!, kama jamhuri inadhani mkapa anatetea uongo- ionesha beyond reasonable doubt kuwa serikali haikuwa imepanga na kuridhia ununuzi wa nyumba hiyo. Ukumbuke kuwa hata rais wa sasa yumo kwenye orodha ya mashahidi sema tu sheria hairuhusu na kama kesi hii ikiendelea bila kwisha kabla rais wako wa sasa hajamaliza mda wake basi mwisho wa siku anaweza kuitwa kutoa ushahidi kwa yeye ndo alikuwa waziri mwenye dhamana ya majumba ya ubarozi.
   
 4. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nyuma ya Pazia ni bifu lililopo kati ya mkulu na mahalu...
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,542
  Likes Received: 2,240
  Trophy Points: 280
  Sasa mkuu na mstaafu kaamua kuonyesha msuri wake?
   
Loading...